TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Pigo kwa Tanzania, A.mashariki, na Dunia kwa ujumla kumpoteza mtu Jasiri, Mtetezi wa Rasilimali za nchi yake dhidi ya wanyonyaji,
Rasilimali za Tanzania zilikuwa salama chini yake, sijui sasa hali itakuwaje......eee Mungu tusaidie watanzania wako.

Mtu ambaye huwezi kutilia mashaka juu ya Uzalendo kwa nchi yake.

Mpambanaji asiye yumba wala hakubali kuyumbishwa.

Rais aliye fanikinikiwa kubana matumizi ya serikali kwa kudhibiti safari na ziara za mataifa ya nje n.k

Alikuwa ni Rais bora barani Afrika.
JPM pumzika kwa amani
 
... why siku 21 badala ya 14 zilizoamriwa na the de facto Amiri Jeshi Mkuu Her Excellence Samia Suluhu Hassan? Something wrong?
Kaona nyingi sana hizo,kwanza ilitakiwa akishaenda kaburini tuu maombelezo yaishie hapo hapo.
 
haipo hivyo.

magu aliuweka upinzani kona mbaya tu,hasa kwa kuunyima ngumu mwaka jana.

huyu mama akiamua kuwapotezea na kuwachia uhuru kawamaliza jumla.
Kama kuwapotezea wapinzani ni kuwavunja nguvu ya ushawishi mazima kwanini Magu asingefanya hivyo mbona ni njia isiyokuwa na gharama hata chembe badala yake alishughulika nao kisawasawa kuhakikisha hawafurukuti iwe kihalali ama kimagumashi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na alete maridhiano na umoja wa kitaifa.... Nawaza tuu hapa huyo anayemjulia ndo awe VP wake....

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Rest in peace.

A point of curiosity though...

CHADEMA wameitisha press conference kesho and usiku huu Mama Samia comes with this news.

Coincidence? Or has Chadema become a force to be reckoned with.
I think CHADEMA knew before what was on offing. RIP JPM and pole to the entire CCM family.
 
Si kwamba walikuwa hawafurukuti, walitaka na wewe uamini kwamba hawafurukuti.

Sijajua msimamo wa bi Samia, lakini pia nitoe tahadhali,kama ajenda ya wapinzani itaendelea kuwa jpm,wamekwisha.

Haijalishi watamsema kwa mema au mabaya.
 
Dah!!! aisee wangesema mapema, walau watumishi wa MUNGU wangemwombea
R.I.P Mr President.
 
Walidanganya Watanzania. Badala wangesema ukweli ili aombewe. Yaani viongozi hadharani kusema uongo wakati inajulikana wazi alilazwa. I will never trust a politician.
Yaani natafakari nashindwa kuelewa walituona sisi wajinga? au mazezeta?. Nini faida ya kusema uongo wao.kwa hili wajitathimini. AIBU HAITOTOKA KATIKA NYUSO ZAO.

Leo hii kina LISU wataonekana wakweli na kuaminika zaidi. Ukweli wamemkosea Heshima sana huyu mzee. Rip Mh Magufuri uliowaamini hawakutaka tukuombe walituficha kuumwa kwako na walituambia upo UNAPIGA KAZI.

Nenda pumzika tupo nyuma tunakuja. NAAMINI IPO SIKU TUKIWA ULIMWENGU MWINGINE UTAUWAULIZA KWANINI.

HAMKUWAJULISHA WATANZANIA KUUMWA KWAKO. UMEUMIZA SANA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…