TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Baada ya kukosa nafasi ya kuaga uwanjani nikasema ngoja niwahi uwanja wa ndege. Nilichokiona huku watu ni wengi mno wengine wametoka kwa miguu uwanjani wa Uhuru wakisindikiza msafara. Huzuni imetawala hapa ni vilio tu.
Wee ulienda na nini
 
Rais MAGUFULI anapendwa sana kuliko raisi yeyote aliepita

Ninyi Washirika wakigogo humu JF na mitandao Mingine, Endeleeni kujitahidi kupandikiza chuki, kupandikiza Uovu kwa watanzania

Uongo hauwezi Shinda, Ukweli mrahisi sana

" We believe in God and We trust in MAGUFULI, Thanks for giving us a light Sisi ni Tajiri "
 
Wamejionea leo.
 
" We believe in God and we trust in MAGUFULI, Thanks for giving us a light Sisi ni Tajiri "
Afadhali Mungu wa mbinguni kampendazaidi,
Hawa wanadamu wanaojifanyakwendakushuhudia Kama ni kweli jiwe limetoweka wanakusaidia nini?
 
Unajua Magufuli alijaribu kuwaaminisha watu kua tunamtegemea Mungu.
Lakini Cha kushangaza hata Akina Lugola walipo muita Magufuli Mungu hakuijtokeza na kuwakemea.
Na hata Docta mpango alivo Muita Magufuli kua ni Mungu,Magufuli akujitokeza na kukemea.
Mungu kamuita Mungu mwenzie acha watu wakajionee kama ni kweli Mungu wa Tanzania kafa kweli,
Hata Mimi nipo,na nitaenda mpka chato nikajiidhirishe Kama ni kweli.
 
Rais MAGUFULI anapendwa sana kuliko raisi yeyote aliepita

Ninyi Washirika wakigogo humu JF na mitandao Mingine, Endeleeni kujitahidi kupandikiza chuki, kupandikiza Uovu kwa watanzania

Uongo hauwezi Shinda, Ukweli mrahisi sana

" We believe in God and We trust in MAGUFULI, Thanks for giving us a light Sisi ni Tajiri "
Ukurasa wa Magufuli umeshafungwa. Haijalishi mtu anasema nini juu yake. Yaliyotokea yametokea, hayarudi tena.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom