TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Hayo ni maneno ya mheshimiwa Rais Samia tarehe 18 March 2021 na itakuwa ajabu kama kuna taasisi ya serikali inafikiri vingine.

Viongozi wetu wasipende kuona Umma wa watanzania kuwa ni mbumbumbu kiasi hicho.

Tumeanza kurudi nyuma tena na inasikitisha sana!
 
Heheheheh yale yale “Ndugu Watanzania naomba muamini ndugu Sokoine amekufa kwa ajali!”
 
Hakustahili kupewa majukumu mazito Sana kama haya ya kuongoza watu maana kuongoza kuna changamoto nyingi Sana.Ilitakiwa apate mda mwingi Sana wa kupumzika.
 
Hayo ni maneno ya mheshimiwa Rais Samia tarehe 18 March 2021 na itakuwa ajabu kama kuna taasisi ya serikali inafikiri vingine.

Viongozi wetu wasipende kuona Umma wa watanzania kuwa ni mbumbumbu kiasi hicho.

Tumeanza kurudi nyuma tena na inasikitisha sana!
Nani kakuuliza, ujinga muufanye wenyewe halafu mnataka kujikosha kwetu?
 
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.

1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.

Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.

NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Mtaandika sana, lakini mungu wenu amekufa. Inabidi muizoee hali tupo awamu sita kazi inaendelea.
 
Oh very saad.Je alipata nafasi ya kuomba msamaha watu aliowatendea vibaya?
RIP
 
Ni binadamu wachache sana wanaojaliwa mwisho wa namna hii.

Wengi wetu tutakufa vifo vibaya mpaka wahudumu wa mochwari wanatishika.
 
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.

1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.

Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.

NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
[emoji23][emoji23]hivi braza unakijua kifo au unaongea tu kufurahisha eeh
 
Apumzike kwa amani shujaa wa Tanzania, wengi tulitamani kuishuhudia Tanzania mpya chini yake. Hakika taarifa ya kifo chake kilinishtua mno…
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom