TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Ni bora waarabu waje tule wengi kuliko watu wachache kula peke yao na tena wanakuja mtaani kutulingishia na vigari vyao. bora tule wengi kama mbwai na iwe mbwai,kanyaga twende
 
Yuko wapi cha-cha wangwe
Mm nimeuliza alipo Ben sanane, anzory gwanda, alphonsus mawazo na wale waliouwawa kwenye viroba. Ungenijibu basi?
Nani alimpiga risasi tundu lisu na kwqnn tulikatazwa kumchangia damu na kumuombe?
Usilete vihoja
 
Hivi kipi kimewasibuuuu?? Makubaliano ya kupangisha bandarii, hapa tutafanikiwa zaidiiii. Itaondoa rushwa na ubadhilifu uliopindukiaa. Kwa pamoja tumpongeze Dr. SAMIA SULUHU HASSAN. Kwa hili la bandarii ameupiga mwingiii

Wakati wa Magufuli ulisema tofauti
 
1. Kututeulia makamu wako wa kike

2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge

3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.

4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.

5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.

..lingine ni kujenga mji mkuu Dodoma, au kununua midege isiyo na faida, badala ya kuelekeza fedha hizo kwenye mambo ya maana kama kuimarisha bandari.
 
Hivi kipi kimewasibuuuu?? Makubaliano ya kupangisha bandarii, hapa tutafanikiwa zaidiiii. Itaondoa rushwa na ubadhilifu uliopindukiaa. Kwa pamoja tumpongeze Dr. SAMIA SULUHU HASSAN. Kwa hili la bandarii ameupiga mwingiii
Rushwa itaondoka kwa kupangisha bandari? Kama walishindwa kuwawajibisha waTanzania mafisadi, Leo hii wataweza kuwawajibisha waarabu wa Dubai?
 
Rushwa itaondoka kwa kupangisha bandari? Kama walishindwa kuwawajibisha waTanzania mafisadi, Leo hii wataweza kuwawajibisha waarabu wa Dubai?
Watanzania mafisadi ni akina nani hao taja ata Mumoja tuu, halafu toa ushaidiii kamiliiii
 
1. Kututeulia makamu wako wa kike

2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge

3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.

4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.

5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.
Magu alijua anakomoa waponzani kumbe anatengeneza Tanzania mbaya kuwahi kutokea

Angalia kinachoendelea hakika ni aibu kwa taifa na inasikitisha sn
 
1. Kututeulia makamu wako wa kike

2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge

3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.

4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.

5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.
Wakuu tuongee ukwel kwa hoja.. Hivi JPM alikua na nia gan kuondoa upinzani bungeni ili abaki na wabunge wa CCM aliowataka yeye? Tukiachilia mbali changamoto za upinzani na kutojiimarisha na kua tayar kutawala, but wakiwa bungeni walikua wanaleta impact kubwa sana na sote tulikua tunaona. Je JPM hakutaka hizo impact? Kama ndio je kwann? Wapinzani waliibua kashfa nying san pamoja na mapungufu yao lkn kila mtanzania alijua ufisadi uliofanyika nchini. Swali linabaki... Ni kwann hakuwataka wapinzani bungeni kama kweli alikua anapambana na ufisadi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom