Mbowe amegaribu Sana kile chama hakueleweki kimechanganya Sana watu, ukiwaamini wanakugeukaIsingekuwa yeye haya yote tusingekuwa nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe amegaribu Sana kile chama hakueleweki kimechanganya Sana watu, ukiwaamini wanakugeukaIsingekuwa yeye haya yote tusingekuwa nayo.
Yuko wapi cha-cha wangweUnamkumbuka mtu aliyeua watu? Yupo wapi Ben sanane?
Mfano kama nyie mambumbu halafu eti mnataka kubwabwaja kwenye mambo muhimu kama ya bandarii.Aliyewanyima elimu ya maana watanzania, alitukosea sana.
Kwani haya ya sasa si ni sawa na kipindi cha Kikwete kilichopita?Isingekuwa yeye haya yote tusingekuwa nayo.
Akishinda nanunua goli afu tatu.Mama anaupiga mwingi kuelekea kwenye goli letu.
Mm nimeuliza alipo Ben sanane, anzory gwanda, alphonsus mawazo na wale waliouwawa kwenye viroba. Ungenijibu basi?Yuko wapi cha-cha wangwe
Hivi kipi kimewasibuuuu?? Makubaliano ya kupangisha bandarii, hapa tutafanikiwa zaidiiii. Itaondoa rushwa na ubadhilifu uliopindukiaa. Kwa pamoja tumpongeze Dr. SAMIA SULUHU HASSAN. Kwa hili la bandarii ameupiga mwingiii
Huuu ni wakati wa SAMIA, tulieniiiWakati wa Magufuli ulisema tofauti
Au umekuja mbio mbio?🤣😆Aiseee
1. Kututeulia makamu wako wa kike
2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge
3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.
4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.
5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.
Rushwa itaondoka kwa kupangisha bandari? Kama walishindwa kuwawajibisha waTanzania mafisadi, Leo hii wataweza kuwawajibisha waarabu wa Dubai?Hivi kipi kimewasibuuuu?? Makubaliano ya kupangisha bandarii, hapa tutafanikiwa zaidiiii. Itaondoa rushwa na ubadhilifu uliopindukiaa. Kwa pamoja tumpongeze Dr. SAMIA SULUHU HASSAN. Kwa hili la bandarii ameupiga mwingiii
Anaupiga mwingi kuelekea kwenye goli lake mwenyeweMama anaupiga mwingi kuelekea kwenye goli letu.
Watanzania mafisadi ni akina nani hao taja ata Mumoja tuu, halafu toa ushaidiii kamiliiiiRushwa itaondoka kwa kupangisha bandari? Kama walishindwa kuwawajibisha waTanzania mafisadi, Leo hii wataweza kuwawajibisha waarabu wa Dubai?
Magu alijua anakomoa waponzani kumbe anatengeneza Tanzania mbaya kuwahi kutokea1. Kututeulia makamu wako wa kike
2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge
3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.
4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.
5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.
Ushahidi anao CAG lakini unafichwa na binti wa mbeya.Watanzania mafisadi ni akina nani hao taja ata Mumoja tuu, halafu toa ushaidiii kamiliiii
Wakuu tuongee ukwel kwa hoja.. Hivi JPM alikua na nia gan kuondoa upinzani bungeni ili abaki na wabunge wa CCM aliowataka yeye? Tukiachilia mbali changamoto za upinzani na kutojiimarisha na kua tayar kutawala, but wakiwa bungeni walikua wanaleta impact kubwa sana na sote tulikua tunaona. Je JPM hakutaka hizo impact? Kama ndio je kwann? Wapinzani waliibua kashfa nying san pamoja na mapungufu yao lkn kila mtanzania alijua ufisadi uliofanyika nchini. Swali linabaki... Ni kwann hakuwataka wapinzani bungeni kama kweli alikua anapambana na ufisadi?1. Kututeulia makamu wako wa kike
2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge
3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.
4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.
5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.