Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Kutoka Dar Hadi mwanza ni kama kufanya ziara kwa sehemu kikubwa sana ndani ya nchi
 
Ziara za nje Siyo hadi ujue kiingereza tu? Hahaha hohooo kwikwiii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1533]
Kiongozi umechakachua hesabu ya mafuta uliyopga ni Lori linalobeba mzigo tani 30. Toyota Land Cruiser V8, VX GX, STANDARD fuel consumption 100kms 20Lts kwa lugha nyepesi kila lita 1 ya dizeli inatembea kilomita 5 mpaka 7.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Elimu yangu ndg kwny Siasa na uchumi ila ulicho ongea ni pumba kiwango cha lami
 
Hata kama gharama ikiwa ni kubwa lakini fedha inayotumika inabaki kwenye mzunguko wa fedha zinazowagusa wananchi moja kwa moja kuliko kupeleka nje tena kwa dola!!!
 
Utashangaa kuskia huyu naye ni mchumi kutoka lumumba.

Hizo gharama za chakula na malazi ndio key factor ya gharama kua kubwa.

Ubwabwa wa buku mbili unaokula hapo lumumba kule misri ni buku nne
 
Hata kama gharama ikiwa ni kubwa lakini fedha inayotumika inabaki kwenye mzunguko wa fedha zinazowagusa wananchi moja kwa moja kuliko kupeleka nje tena kwa dola!!!
Hata anapokwenda nje ni katika kutafuta pesa pia,

Safari zote zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
 
Utashangaa kuskia huyu naye ni mchumi kutoka lumumba.

Hizo gharama za chakula na malazi ndio key factor ya gharama kua kubwa.

Ubwabwa wa buku mbili unaokula hapo lumumba kule misri ni buku nne
Hoja hapa gharama ya Rais kusafiri nje na ile kusafiri ndani kama nimeelewa vizuri,

Waliokuwa wanalalamika Rais anafuja pesa andiko hili liwasaidie kuwafumbua macho,

Asante mwandishi,
Kazi iendelee
 
Hata anapokwenda nje ni katika kutafuta pesa pia,

Safari zote zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
Tangu aende nje ya nchi pesa gani aliyoleta imemgusa mwananchi wa kawaida kama sio kuongeza mzigo wa madeni na kuwatengezea mabwanyenye wa kufanya biashara haramu na kodi hawalipi ipasavyo huku wakisingizia wamachinga wanawakosesha wateja na kuchafua mazingiara
 
Wenye akili wameelewa vizuri nadhani kelele za Safari nje zitakwisha,

Tumuache Rais wetu atafute connections kwaajili yetu,
 
Haya ni mawazo ya kishamba sana, Nikweli hujui TZS 1.3T aliipatia UNGA,

ACHENI KUKARIRI ROHO MBAYA
 
Safari za ndani hutumia AirTanzania, hizo v8 hutumika ndani ya mikoa husika, lakini sio kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine labda kama hiyo mikoa iwe karibu, mfano Dsm - Pwani au Kilimanjaro - Arusha, lakini sio Mwanza - Dar thats too far.
unauhakika?????
 
Haya ni mawazo ya kishamba sana, Nikweli hujui TZS 1.3T aliipatia UNGA,

ACHENI KUKARIRI ROHO MBAYAP

Haya ni mawazo ya kishamba sana, Nikweli hujui TZS 1.3T aliipatia UNGA,

ACHENI KUKARIRI ROHO MBAYA
Pesa za UVIKO za masharti ya kutumika ndani ya miezi tisa ndio hela za maana huku wananchi huko waliko wakitumikishwa halafu mnasingizia Tr 1.3 inatumika uongo mtupu.

Wewe tangu ulambishwe cheo cha propaganda ni kama akili zimekuruka; in short hajafanya chochote na wananchi hawatarajii chcochote cha maana kutoka kwake zaidi ya kuugulia maumivu na mateso ya kila aina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…