Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Hoja yako ni kumshabikia Vasco Da Gama mpya au ?
Mkuuu acha nae huyu atakusumbua ametumwa kuna rais Alisha wahi kwenda nje kufanyiwa upasuaji bawasiri wakati Amana wanafanya upasuaji huenda nae huyu anakwenda kufanya upasuaji
 
Safari za ndani hutumia AirTanzania, hizo v8 hutumika ndani ya mikoa husika, lakini sio kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine labda kama hiyo mikoa iwe karibu, mfano Dsm - Pwani au Kilimanjaro - Arusha, lakini sio Mwanza - Dar thats too far.
Dar Dom Chato awamu ya 5 ilitumia zaidi magari hayo
 
Kikubwa ela wananchi tunajitaftia awatulishi sawa tu
 
Hizo tripu badala ya kuifungua nchi ndio kwanza inazidi kufungwa maana gharama za maisha zimepanda na fedha mtaani hakuna.

Hakuna nchi inayoendelea duniani kwa kutegemea ziara za Kiongozi wake nje ya Nchi.
 
Kumbe lengo la kusafiri kwenda ulaya ni kwasababu anaepuka gharama za kusafiri ziara za ndani?
 
Mama chapa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…