Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

hahahah sema bi mkubwa tangu aende cop26 na kujikuta barakoa kavaa peke yake , sa hivi kapata somo naona kapunguza mibarakoa maana ilikuwa kama sehemu ya vazi
 
Huyu ni rais wa tanzania au rais wa ncho za nje
 
Kazi iendelee
 
Kawadanganye watoto wako wadogo.
 

Childish and idiotic analysis
 
Mkuu umetudanganya kiasi kikubwa mno na sijui lengo lako haswa ni kujustfy safari au matumizi ya safri, anyway tufanye yote mawili,

Kwanza safri zote za Rais nje ya mahalia huwa hazina gari nyingi hvyo, Rais akiwa anatoka eneo moja kwenda nyingine kwa ziara za kazi huwa anagari za itifaki, ambazo hazizidi 5 Kama sikosei, gari zingine huwa zipo mahari husikika katika eneo, mfano Kama anaenda mwanza, anatokea dar, atapitia morogoro, dodoma, singida, shinyanga Kisha mwanza,

Huko pote gari za itifaki huwa Ni idadi nliyotaja, Sasa katika hyo maeneo Kama atakuwa anasimama kusaliamia au kuhutubia magari ambatano ya mahalia huwa yanaambatana nae, zingatia hakuna gari ambalo huwa linakuja kwenye msafara wa Rais Bila kibari.

Sasa itifaki ya mfumo wa kisasa huwezi kutembea na gari 40, labda kipndi Cha nyerere, ila si katika utawala wa Sasa,

Kwa maelezo hayo taarifa yako haina ukwel kabisa na Ni uongo uliopindukia, maana hujaufanyia utafiti...
 
Maskini shida sana!! tena ni kovu baya sana usoni kuwa nalo sasa ni gharama atumie punda basi! au atembee ili kupunguza gaharama!! ndo unavotaka? weye kijana! tuhela gani huto twa kupigia mahesabu ya kishamba hayo!

litanzania looote hili . N/ parks zooote hizo! hazina mtaji! limlima liko hapo tu halina mtaji!! watu wanakuja wanaliona tunapata cha juu! kirefuuuu! jamani,mifugo, mijikahawa tele! miji bandari, midhahbu mitanzanite!!mwee!! dogo unatutia aibu bana!

tuombe samahani!! km shida zako ndo zimekutuma hukohuko! na shida zako! hela ndogo sana hiyo!
 
Kaziiendelee
 
Ungekuja na hesabu za gharama za mafuta kwenye Boeing 737 Ya ATCL kwenda misri,marekani , na kwingine ngekuona unazo akili.
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…