Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
hahahah sema bi mkubwa tangu aende cop26 na kujikuta barakoa kavaa peke yake , sa hivi kapata somo naona kapunguza mibarakoa maana ilikuwa kama sehemu ya vazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usiwe wewe ndiyo muongo ccm?Umesikia kwa nani we CHADEMA?
Kwanini mnakuwa waongo sana?
Hujui au ?Khaaa
Kazi iendeleeGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
===
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
===
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
===
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
===
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
===
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza,
===
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu
===
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
===
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam,
===
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
==
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
===
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
===
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
===
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
===
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
===
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu,
===
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga,
===
View attachment 2006415
View attachment 2006416
Kawadanganye watoto wako wadogo.Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,

Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,

Lete yako MKUUChildish and idiotic analysis
Mkuu umetudanganya kiasi kikubwa mno na sijui lengo lako haswa ni kujustfy safari au matumizi ya safri, anyway tufanye yote mawili,
Mkuu hzo takwim kaudanganya uma hakuna kitu Kama hicho tz, safri ya Rais kwa huwa za kiitifaki, na hayazidi magar 5, katulisha matango, na tumeyakataaAsante JF,
Asante mwandishi
ASANTE RAIS SAMIA,
Kazi iendelee
Hebu tupe nawewe hiyo MKUU.Raisi anasafiri na airbus ya Air Tanzania- tupe hesabu basi
Heeeh,Kawadanganye watoto wako wadogo.
KaziiendeleeGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
===
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
===
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
===
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
===
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
===
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza,
===
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu
===
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
===
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam,
===
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
==
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
===
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
===
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
===
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
===
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
===
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu,
===
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga,
===
View attachment 2006415
View attachment 2006416
Ungekuja na hesabu za gharama za mafuta kwenye Boeing 737 Ya ATCL kwenda misri,marekani , na kwingine ngekuona unazo akili.Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
===
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
===
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
===
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
===
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
===
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza,
===
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu
===
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
===
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam,
===
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
==
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
===
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
===
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
===
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
===
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
===
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu,
===
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga,
===
View attachment 2006415
View attachment 2006416
Na wewe ndo utakua mjinga mwandamizi.Dah! Nazidi kuamini maneno ya Pascal Mayalla ya kwamba siku hizi JF imejaa wajinga kweri kweri!
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,