Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

Kwa kile kilichotokea pale na tylioshuhudia ni madhara makubwa na vifo ni zaidi ya wanavyosema vyombo vya habari, naona serikali imeficha uhalisia wa hii habari na madhara yake.
 
Kuna vitu vya ajabu sana, uamuzi wa kutibu majeruhi waliotokana na ajali nao lazima autoe Rais.
Mkuu kuna vitu vyepesi (cheap) vya kutembea navyo na kuna vitu vigumu kama Umeme, maji, mfumuko wa bei, miundo mbinu n.k ambavyo havipaswi kuongelewa kwa sababu ni vikubwa kwa msemaji.
 
Watu wengi bado hawajui kama hakuna mkoa unaitwa Moshi
Moshi ni kijiji kilichopoa, among them wametapakaa ukanda wetu wa ziwa, pwani n.k.

Kilimanjaro ni mkoa wenye mashaka, ila ilikuaje kuaje ikapewa hadhi ya mkoa! Kwani Kilimanjaro ni zaidi ya kahama?
 
Huu upuuzi ndo hufanya tuanze kurumbana bila sababu....kama ameboresha SASA anahangaikia nini. Huduma za afya ni mbovu Sana.
Msilete siasa Kwa kuwa mnamegewa keki
Sasa kama kaamu kutoa bonus kuna tatizo gani? Au wewe unajua huduma za afya ni bure yaani huo ndio uboreshaji?
 
Kila kitu kwa mqagizo mpaka lini? Ikitokea sunami, wakaumia watu laki tano watatibiwa wore bure?
 
Rais wa wanyonge

Ila tunaomba suala la umeme likae sawa, zinatukuamishia sana kazi zetu, hasara kubwa twazipata kutokana na katakata, tuhurumieni jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…