Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji

Hata mkataba ulipokuja kuna waliosema wanamuonea kwa sababu uneletwa nawaislamu, ukatili wao ni wa kupuuza equally na wa hao wajermani
 
Kulikuwa na haja gani kuweka hayo maneno ya mwisho, inferiority complex imekufanya umeharibu uzi na hutapata uchangiaji wa maana.
 
Kulikuwa na haja gani kuweka hayo maneno ya mwisho, inferiority complex imekufanya umeharibu uzi na hutapata uchangiaji wa maana.
Kama umeharibika mbona umechangia?
 
Watulipe fidia mbwa hawa! Walituharibia sana kama sio wao na ukatili wao tungekua mbali sana
Uwe mbali wapi Amna akili mbona asia walitwaliwa na kumwaga damu nyingi na wameendelea huko Vietnam Singapore na mataifa ya aina hiyo... wenzenu wanajiuliza kwanini jiwe linadondoka nyie mnasaga mahindi kwa mawe, msingetawaliwa pengine adi Leo tungekuwa tunavaa kaniki
 
Mambo mengine ni kizazi na enzi yake ...
Yaani tunashindwa angalia leo tunakoseana wapi kwa enzi zetu tunaangalia mahusiano ya karne zilizopita...
Leo tujadili elimu yetu, rasmal zinatupeleka pazuri au la.. Siwez nikamjadili karl peter alivyomwadhibu jamaa yetu kisa alitembea na kimada chake hadi adhabu ikatolewa kwa kijiji kizima...
najadili viongoz wetu kweli mikataba yetu ina tija au wanaomba radhi kama technik ya kuukaribisha umangungo mambo leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…