Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Moja wapo lazima liwe kweli maana yote yana mizania sawaHapa kuna mawili;
1. US & NATO wanamwandalia Russia bonge la surprise.
2. US & NATO wanapoteza utawala wao Duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja wapo lazima liwe kweli maana yote yana mizania sawaHapa kuna mawili;
1. US & NATO wanamwandalia Russia bonge la surprise.
2. US & NATO wanapoteza utawala wao Duniani.
Mambo ni mawili,Sababu ya kijinga? Haitakaa itokee kamwe taifa kubwa kama Russia kumruhusu NATO na Marekani wawe na access na mipaka yao kupitia nchi iliyopakana nae, sababu kwa kufanya hivyo atakua kajiweka hatarini kiusalama. Marekani ni mnafiki, unadhani angekubali Russia awe na ushirika na nchi kama Mexico na kuwa na uwezo wa kupeleka majeshi yake? Hakuna anaependa vita, ila Putin hakua na chaguo jingine. Hakuna namna yoyote angeweza kuruhusu Ukraine ajiunge NATO, never. Siku chache zijazo rais wa Ukraine atapinduliwa, kisha Putin ataweka mtu anaemmudu kama yule aliekuwepo kabla ya huyu wa sasa, na biashara itaishia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe muandika hii koment ndio umekosea sio RUSSIAJamaa anafanya proganda kwa kiasi flani, kwani Ukraine ndiyo nchi pekee jirani na Rusia ambaye akitaka kujiunga na NATO?
RUSIA amekosea sana kumvamia Ukraine kwa ukweli, wakija kufanya analysisi wanaitangazia dunia kua walikosea sana.
kila mmoja anavamia kwasababu zake usitake sababu zifanane MKUUHe is just greedy for power….Baada ya hapa atawatafuta wengine anaopakana nao wanyonge arudishe tena U.S.S.R .Kwaio China naye Aivamie Taiwan akitoa sababu kwamba Marekani atajiattach .Au Marekani naye amvamie Mexico kwasababu kama za putin?
Hakuna namna. Wewe jirani yangu unajua NATO na Marekani ni adui zangu namba moja unawakaribisha uishi nao. Pia unajua ni wanafiki. Unataka nifanye nini zaidi ya kukuwahi kabla haujaenda mbali.
Naona jamaa anapitia hizi thread kimya kimya..... [emoji1787]We unahisi ni sababu ya kijinga?? Rudi kasome tena
kama umesoma historia na hujui sababu ya vita kupigwana basi wewe ni kilazaNimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
Kwakweli hata mi bado sbb zinazosemwa haziniingii akilini,labda kama kuna kitu kingine nyuma ya pazia!Nimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
Mkuu vipi zile zilizopigwa kwa kutuaminisha dunia nzima kuwa Saddam ana silaha za maangamizi, halafu walivyokwisha muua na kuiharibu Iraq hazikuonekana silaha hizo?
Hivi wanagombania nini mpaka leo sjapata kusoma sababu ya hiyo vita, nisadie kujua mkuu.Nimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
Mbona vifo vya wasomali, wairaq na sadam wao, walibya na ghadaf, waafghan na mulla wao havikukuumiza?Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1.
Ktk conference call hiyo amewashukuru viongozi hao wa Ulaya lakini pia akawalaumu kwa kushindwa kwao kumzuia Rais Putin asiendelee kuingia zaidi Kyiv.
"NANI YUKO TAYARI KUPIGANA PAMOJA NASI DHIDI YA PUTIN?...KWA KWELI SIMUONI HATA MMOJA"
Kwa kweli mie binafsi (Sikirimimimasikini) nimemuonea huruma sana rais huyu, bora Putin angekubali kuzungumza nae tu na wala asimuue.
======
![]()
'This Might Be The Last Time You See Me Alive' Ukraine's President Says After Putin Calls For Coup
President Volodymyr Zelensky warned European leaders that they may never see him again as Russia’s army masses outside the Ukrainian capital Kyiv.www.ibtimes.com.au
Ukraine’s President Volodymyr Zelensky warned European leaders in a conference call that they may never see him alive again as Russia’s army masses outside the Ukrainian capital Kyiv.
Zelensky issued the warning during a discussion with several other European leaders on Friday. A day earlier, the Ukrainian president warned that Russian “sabotage teams” had entered Kyiv in search of him and his family. On the call, Zelensky thanked them for their support but chastised them for their failure to do more to stop Russian President Vladimir Putin’s advance.
“Who is ready to fight with us? Honestly, I don’t see anyone .. .I’m asking them, are you with us?” Zelensky said, according to the Financial Times.
Anaejitoa ufahamu hapa ni wewe, kama ulijishughulisha kusoma basi hujui ulichosoma. Nani asiejua kuwa Alaska ilikua sehemu ya Urusi, na Marekani akauziwa 1867? Nani asiejua pia kuwa Estonia na Latvia zimepakana moja kwa moja na Urusi, zilikua sehemu ya Soviet Union na walishajiunga na NATO, na Urusi haku-react kama alivyofanya sasa kwa Ukraine? Kama Urusi ingekua ndio Tanzania unadhani mipaka ipi ni muhimu zaidi kwake kiusalama kati ya ile ya Kenya & Uganda versus ile ya Rwanda na Burundi? Ni wazi Ukraine na Belarus wakijiunga NATO, na Marekani wakapeleka majeshi yake hapo Urusi itakua imezungukwa na maadui karibu upande wote wa Magharibi ya Urusi, na kuweka rehani usalama wa taifa lake, ndio maana Putin hataki NATO iendelee kujitanua tena kuelekea Mashariki, ambayo ndio Magharibi ya Urusi. Nimekuwekea na ramani hapo ujaribu kujifunza kitu, pengine utaelewa sababu ya Putin. Siungi mkono vita, ila naelewa sababu ya Putin kuamua kuingia vitaniMambo ni mawili,
1. Hujui unachoandika hapa.
AU
2. Unajitoa ufahamu kwa kutokujishughulisha hata kusomasoma japo.
Russia na USA ni majirani kabisa. Tena wa kugawana mpaka.(huko Alaska)
Nimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
[emoji1][emoji3526]Biased, single side judgement na mahaba ndi ndi ndi
[emoji38][emoji847]Utakuwa umesoma historia ya kinjekitile tu
Wenzake wanamtumia Kama chambo kwa maslai yao alikua hajuiHata ukimuonea huruma hakuna itakachosaidia, kikubwa ajipambambanie kwanza yeye. Akishapona ndipo atawalaumu waliomponza sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app