Kwan ni mara ya kwanza kwa israel kuvamia hio msikitiKatika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel,rais erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo
Kwani yeye edorgan kafanya nini kwenye harg Sofia mkuu au kwasababu sisi hatusemi.Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel,rais erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo
Hayo ni maneno ya kwenye kanga tuuMaonyo mbona Israeli imeshayazoea sana.Linapokuja suala la kujilinda Israeli huwa haiogopi chochote!
Wameshatoa sana maonyo, iliyobaki ni kutoa manyonyo tu.Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel,rais erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo
Ya nyumbani kwake yanamshinda, atawezana na Israel?!!!Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo.
hilo ni onyo tu. uturuki ana nguvu ya kivita lakini hana uwezo kuipiga israel. magaidi wa kurdi tu wamemsumbua miongo mingi hadi leo hajawashinda. although kinabii kuna wakati uturuki na urusi wataungana kuipiga Israel, vita ya al magedon, na hakuan US wala wamagaribi watakaokuwa na uwezo kuisaidia Israel, ni Mungu mwenyewe atashuka kwa mvua ya mawe na matetemeko ya ardhi na silaha za asili, atateketeza 3/4 ya jesho lao lote na ndipo Israel watakokoka. hizo ni siku za mwisho na onyo kama hilo bila shaka ni ishara mojawapo.Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo.
Anazungumzia Israel hii ya Ashkenazi ya Sinagogi la Shetani au ile nyingine tuitamiayo?hilo ni onyo tu. uturuki ana nguvu ya kivita lakini hana uwezo kuipiga israel. magaidi wa kurdi tu wamemsumbua miongo mingi hadi leo hajawashinda. although kinabii kuna wakati uturuki na urusi wataungana kuipiga Israel, vita ya al magedon, na hakuan US wala wamagaribi watakaokuwa na uwezo kuisaidia Israel, ni Mungu mwenyewe atashuka kwa mvua ya mawe na matetemeko ya ardhi na silaha za asili, atateketeza 3/4 ya jesho lao lote na ndipo Israel watakokoka. hizo ni siku za mwisho na onyo kama hilo bila shaka ni ishara mojawapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Un
Anazungumzia Israel hii ya Ashkenazi ya Sinagogi la Shetani au ile nyingine tuitamiayo?
Ngoja wamtembezee tetemeko lingine.Amemalizana na tetemeko kumbe