Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo.
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo.