Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Michezo ya wakubwa hiyo, unafikiri shinikizo la Trump kwa Ukrane kukubali mpango wa amani ulioandaliwa na Urusi lilikuwa bure...Urusi kapewa Ukrane, USA kaachiwa venezuela
Naam this is what I think
 
Maduro alikuwa andanganywa na wachina kwamba tuko nyuma yako. Wachina hawawezi kumsaidia mtu nje ya nchi yao. Nguvu walio nayo ni kujilinda waowenyewe sio kumkingia mtu kifua mbele ya wababe wa dunia USA.
Hizo ni siasa za Dunia ulimwengu unavyo endeshwa inahitaji uwe na Akili nyingi sana kuweza kubaini yanayo endelea nje ya Akili ya kawaida

Hao USA Russia+ china Wana shirikiana kijanja kimya kimya Kisha Wana tuhadaa kwamba ni maadui wakubwa

Of course ni maadui but when it comes jambo lenye maslahi katika pande zote kuu mbili Wana Kaa chini Wana kubaliana wapige Hela Halafu wengine wanakuja front page wanajifanya kulaani na kupinga ila deep down wao pia ni wahusika


Wewe haujiulizi Putin alivyokwenda USA kuonana na trump last year walikubaliana nini !? Haujiulizi imekuwaje mpaka Putin amtumie salamu za kheri ya crissmass Trump !!?

Wakati huo huo USA unakuta wanajifanya kulaani Russia Kwa kuivamia Ukraine

Mpaka Sasa Bado hauoni kwamba USA na Russia wameamua kugawaa kutawala nchi za watu .

Russia na Ukraine!?
 
Hata USAIDs hiyo ndio ilikuwa michezo Yao

Wana fund mpaka vita
 
😁😁😁 Watu wengi hawalijui Hilo wanajiendea tu
In short sio marekani only siasa za Dunia zote ndio zipo hivyo ,

Maslahi binafsi kwanza
 
Maduro kafichwa kabatini USA kama gudulia la wanzuki.Mdomomdomo na mustachi kama vijiti vya chelewa kwisha habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…