Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Kwanini hakuwauliza WHO ARE YOU?
 
Rais wa Marekani, Donald Trump amedai Taifa hilo limefanya shambulio kubwa Nchini Venezuela na kuwakamata Rais wake, Nicolas Maduro, na mkewe na kusafirishwa kwa ndege kutoka nchini humo

Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wa Truth Social, Trump ameandika: β€œMarekani imefanikiwa kutekeleza shambulizi mkubwa dhidi ya Venezuela na kiongozi wake, Rais Nicolas Maduro, ambaye pamoja na mkewe, wamekamatwa na kusafirishwa nje ya nchi.

β€œOperesheni hiyo imefanyika kwa ushirikiano na Utekelezaji wa Sheria ya Marekani. Maelezo zaidi yatafuata. Kutakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari leo saa 5 asubuhi, huko Mar-a-Lago. Asante kwa umakini wenu katika jambo hili” - ameandika Trump.

 
Yaani huyu mwamba siku wananchi tuliambiwa mtu wenu huyo hapo fanyeni mnalotaka nafikiri vijeba vitamfira yeye, mke wake na watoto wake wote bila mate bila mafuta.

kumbe tumeshafikia huko? kwa maana gadafi ilikuwa hivyo hivyo chuki dhidi yake (gadafi) ilikuwa kubwa kiasi kwamba walipopata mwanya wa revenge walimfanyia hayo uliyoyataja ( too grafic kwangu hata kuyarudia ulioyaandika), hali inatisha sana, duh ...
 
Hao waliomzunguka ni Elite Team ya Makomandoo kutoka tawi la Delta Force (SEAL TEAM) ndani ya US Millitary Army hatari sana hao jombaa
 
Hatuwezi jua inawezekana wapo kazini, mbona miezi kadhaa kabla ya JPM kufariki ilisemekana CIA walikuwa wameshaingia kazini kimya kimya.

CIA huwa wanaingia mzigoni kimya kimya na Hawa huwa wanasimama na wananchi wanaonewa dhidi ya viongozi wao.
Kila ubalozi una CIA personel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…