Rais wa Yanga achia ngazi

Inaumiza sana, makelele ya akina @OMUGHAKA na wenzake, yaliwafanya viongozi wakurupuke kufukuza kocha bila kujali tupo wakati gani.
Mashabiki oya oya hao unadhani wanajua nini hao?

Mashindano haya yanahitaji kocha anayekijua kikosi chake vizuri sana na kimbinu awe vizuri sana Gamondi alithibitisha hilo! Wote tumeshuhudia

Ona huyu said sasa anaangalia tu afanyeje sasa na wachezaji hawajui vizuri
 
Babuu..! Sindano zile ndio zilikufanya uone jamaa wanacheza Solid. Naamini uongozi ulichakata yote kabla ya kumtimua.
 


Tutulie wajumbe mwalim apewe mda maana Rais hakujua athar za kufukuza kocha katkat ya msim
 
mkuu sio wote tunajua vifupisho hiyo kmmk kirefu chake ndio nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…