Rais wa Yanga achia ngazi

Sijui Hersi alivuta bangi gani? Unafukuza kocha wiki moja kabla ya kuelekea mechi ngumu za ligi ya mabingwa?

Sawa basi, ukamleta kocha gani?

Hizi mechi niliwaambia hatutoshinda hata moja.
mlikuwa mnashauri sanaa kipindi Simba wanafukuza kocha kipindi kigumu ,mbona kwenu hamkufanya hivo acha mshenyento uendelee
 
German Machineeeeee nyambafyuuuu ni humu tuuu
 
Hersi alikuwa anataka kocha apewe ila shinikizo kubwa lilikuwa kwa arafat makamu wa raisi alikuwa amemchoka gamondi!
 
Sijui Hersi alivuta bangi gani? Unafukuza kocha wiki moja kabla ya kuelekea mechi ngumu za ligi ya mabingwa?

Sawa basi, ukamleta kocha gani?

Hizi mechi niliwaambia hatutoshinda hata moja.
Jamaa alipuyanga sana kwenye hili halafu kuna jamaa angu wa karibu sana shabiki mwenzangu alikuwa anafurahia gamondi kuondoka sasahivi kila nikimuuliza kwanini ulifurahia hana majibu anabubujikwa na machozi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…