DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Course ilikuwa ni ya siku 3 tuYuko masomoni
Kwani nyie mliletewa MANZOKI? Na mangungo mmemfanya kitu chochote?Waache wajifariji wenzao wanawaza ubunge wao wanajua bado wana viongozi, kweli nimeamini bongo ukitaka ufanikiwe kwenye mambo yako kupitia mpira basi timu ya kutokea ni yanga, mtu aliyewaahidi uwanja ndani ya miaka minne ya utawala wake hadi leo hola wanapigwa propaganda nao wanachekelea tu, ndio maana asilimia kubwa ya viongozi wao watu wanaowafahamu wanasema ni mashabiki wa simba ila huko yanga wako kwa sababu ya maslahi tu, maana wanajua mashabiki wa simba wanajielewa huwezi kuwadanganyia vitu vya kipumbavu kama unavyoweza kuwadanganyia mashabiki wa yanga, ndio maana simba kiongozi akizingua anasemwa mchezaji akizingua anasemwa vile vile na hiyo ndio mentality ya timu zote kubwa, wenzetu wao kiongozi au mchezaji akizingua wanaambiana eti wamtie moyo hata kama wanaona hana uwezo yani wao kikubwa wawafunge simba na kufikia rekodi za simba tu yani hayo ndio mafanikio yao basi
Hawajafanywa kitu ila wote tuliona baada ya yale malalamiko ya mashabiki viongozi wakaboresha kikosi na msimu huu timu imecheza fainali ya caf na iko mbioni kutwaa ubingwa wa ligi kuu, ndio maana mnaona kwa sasa kelele zimepungua ila wakizingua kelele zitaanza tena upya viongozi watarekebisha penye makosa na mwendo ni huo huo taratibu tutafika tu, ila ninyi nashangaa pamoja na kuishia makundi huko caf hakuna aliyelalamika mmeridhika na mna furaha kabisa eti mna kikosi bora ukiuliza sababu unaambiwa kisa wamemfunga simba mara nne mfululizo sasa kama siyo uzwazwa na uzamwamwa ni niniKwani nyie mliletewa MANZOKI? Na mangungo mmemfanya kitu chochote?
Mnaojielewa mkaletewa manzoki kwenye uchaguzi,vitu vingine bora mnyamaze kuliko kuendelea kumpa pointi rage kwa lile jina alilowapaWaache wajifariji wenzao wanawaza ubunge wao wanajua bado wana viongozi, kweli nimeamini bongo ukitaka ufanikiwe kwenye mambo yako kupitia mpira basi timu ya kutokea ni yanga, mtu aliyewaahidi uwanja ndani ya miaka minne ya utawala wake hadi leo hola wanapigwa propaganda nao wanachekelea tu, ndio maana asilimia kubwa ya viongozi wao watu wanaowafahamu wanasema ni mashabiki wa simba ila huko yanga wako kwa sababu ya maslahi tu, maana wanajua mashabiki wa simba wanajielewa huwezi kuwadanganyia vitu vya kipumbavu kama unavyoweza kuwadanganyia mashabiki wa yanga, ndio maana simba kiongozi akizingua anasemwa mchezaji akizingua anasemwa vile vile na hiyo ndio mentality ya timu zote kubwa, wenzetu wao kiongozi au mchezaji akizingua wanaambiana eti wamtie moyo hata kama wanaona hana uwezo yani wao kikubwa wawafunge simba na kufikia rekodi za simba kimataifa hayo ndio mafanikio yao basi
Duuh kwahiyo hiyo propaganda ya mchezaji unaiona ni kubwa kuliko propaganda ya uwanja tena maneno yaliyotamkwa na rais wenu mwenyewe kweli kuwa shabiki wa utopolo ni kipaji aise, bora manzoki kuliko chama ambaye kila dirisha likifunguliwa alikuwa anasajiliwa yanga ila msimu ukianza anaendelea kuichezea simba hadi alipozeeka ndipo mkafanikiwa kumsajili, na juzi juzi hapa wakawaletea propaganda za kumsajili mpanzu wote mkajaa halafu mnadanganyana eti hakuna mchezaji wa simba mwenye hadhi ya kucheza yanga kumbe kimoyomoyo mnawatamani na mkiwachukua wanaenda kuanza kwenye kikosi cha kwanzaMnaojielewa mkaletewa manzoki kwenye uchaguzi,vitu vingine bora mnyamaze kuliko kuendelea kumpa pointi rage kwa lile jina alilowapa
Agiza kahawa hapo kijiweni kwako,mimi nitalipaDuuh kwahiyo hiyo propaganda ya mchezaji unaiona ni kubwa kuliko propaganda ya uwanja tena maneno yaliyotamkwa na rais wenu mwenyewe kweli kuwa shabiki wa utopolo ni kipaji aise, bora manzoki kuliko chama ambaye kila dirisha likifunguliwa alikuwa anasajiliwa yanga ila msimu ukianza anaendelea kuichezea simba hadi alipozeeka ndipo mkafanikiwa kumsajili, na juzi juzi hapa wakawaletea propaganda za kumsajili mpanzu wote mkajaa halafu mnadanganyana eti hakuna mchezaji wa simba mwenye hadhi ya kucheza yanga kumbe kimoyomoyo mnawatamani na mkiwachukua wanaenda kuanza kwenye kikosi cha kwanza
Mlipo ishia robo fainali mliridhika? Na kama hamkuridhika mliwachukulia hatua gani viongozi?Hawajafanywa kitu ila wote tuliona baada ya yale malalamiko ya mashabiki viongozi wakaboresha kikosi na msimu huu timu imecheza fainali ya caf na iko mbioni kutwaa ubingwa wa ligi kuu, ndio maana mnaona kwa sasa kelele zimepungua ila wakizingua kelele zitaanza tena upya viongozi watarekebisha penye makosa na mwendo ni huo huo taratibu tutafika tu, ila ninyi nashangaa pamoja na kuishia makundi huko caf hakuna aliyelalamika mmeridhika na mna furaha kabisa eti mna kikosi bora ukiuliza sababu unaambiwa kisa wamemfunga simba mara nne mfululizo sasa kama siyo uzwazwa na uzamwamwa ni nini
Kolo naona unamsagia kunguni injinia.Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa.
Cha kushangaza, Yanga hivi sasa ipo kwenye mgogoro mkubwa na vyombo karibia vyote vya michezo nchini ila Rais wake Hersi Said yupo huko anajivinjari. Hii ina tafsiri gani? Ni mbinafsi? Amesahau majukumu yake ya msingi? Ni dharau kwa mamlaka za nchi? Bila Yanga hata huko CAF asingepata na hawezi kubaki na hizo nafasi.
Hersi alipoanza pale Yanga na alipokuwa anatafuta kuaminiwa, alikuwa anaingia front mwenyewe na hilo ndiyo lilimjengea sifa kwa mashabiki wa timu yake. Nakumbuka story ya kutekwa kwa Kibu, alihusika moja kwa moja.
Leo hii, Yanga iko katika hatari ya kushuka daraja, huku mitandaoni wanarushiana barua na shutuma na mamlaka za nchi, halafu yeye amejificha kwenye mwamvuli wa "kamati ya utendaji". Timu imeachiwa msemaji anayebwabwaja lolote linalomjia kichwani.
Najua mashabiki wa Yanga wanamuona huyu bwana kama masihi wao na hawadiriki kumsema kwa lolote baya ila najua wakikaa chini wenyewe wanawaza makosa na madhaifu yake na yanawaumiza sana kimoyomoyo.
Vinara wa kuandika story za vijiwe vya kahawa ni ninyi mashabiki wa uto, mashabiki wa simba wanaandika story zilizosemwa na viongozi wenu, anyway nawe agiza supu ya kibudu hapo mtaani kwenu mimi nitalipa huku tukitafuta eneo zuri kwa ajili ya kumjengea eymael sanamu lakeAgiza kahawa hapo kijiweni kwako,mimi nitalipa
Msomali kanusa kajua kuna rungu linaweza kumuangukia, ameamua kuwasakizia kina Alikamwe. Kaenda kujificha kwenye sketi ya CAF.Kolo naona unamsagia kunguni injinia.
Siku simba watakapopangwa kwenye pot one cafcl na kuwekwa na vibonde kwenye hatua ya makundi kwa kuzingatia caf ranking, msianze kulialia kwamba wamefika hatua fulani kwa kucheza na vibonde kama mlivyolia msimu huu, kwa sasa endeleeni kushangilia mafanikio yenu ya kuwafunga simba tu ndicho mnachokiwezaMlipo ishia robo fainali mliridhika? Na kama hamkuridhika mliwachukulia hatua gani viongozi?