Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Sijasahau ahadi ya Mo kuhusu uwanja wa simba arena. Na matrekta, tingatinga na wafanyakazi wakaenda site picha zikapigwa. Au ngoja ninyamaze.Waache wajifariji wenzao wanawaza ubunge wao wanajua bado wana viongozi, kweli nimeamini bongo ukitaka ufanikiwe kwenye mambo yako kupitia mpira basi timu ya kutokea ni yanga, mtu aliyewaahidi uwanja ndani ya miaka minne ya utawala wake hadi leo hola wanapigwa propaganda nao wanachekelea tu, ndio maana asilimia kubwa ya viongozi wao watu wanaowafahamu wanasema ni mashabiki wa simba ila huko yanga wako kwa sababu ya maslahi tu, maana wanajua mashabiki wa simba wanajielewa huwezi kuwadanganyia vitu vya kipumbavu kama unavyoweza kuwadanganyia mashabiki wa yanga, ndio maana simba kiongozi akizingua anasemwa mchezaji akizingua anasemwa vile vile na hiyo ndio mentality ya timu zote kubwa, wenzetu wao kiongozi au mchezaji akizingua wanaambiana eti wamtie moyo hata kama wanaona hana uwezo yani wao kikubwa wawafunge simba na kufikia rekodi za simba kimataifa hayo ndio mafanikio yao basi
Yanga wamesema hawachezi