Rais wa Yanga Hersi Said aitelekeza timu yake katikati ya mgogoro mkubwa

Sijasahau ahadi ya Mo kuhusu uwanja wa simba arena. Na matrekta, tingatinga na wafanyakazi wakaenda site picha zikapigwa. Au ngoja ninyamaze.

Yanga wamesema hawachezi
 
Mgogoro upi tena, tayari kila kitu kinajulikana
.hawachezi
.hawatacheza
 
Hawajui Mamelodi na Esperance wamekwenda Club World Cup kwa sababu ya ranking.

Ila nadhani wanajua maana ya mafanikio ya Simba na umuhimu wake, ni chuki tu na roho mbaya vinawasumbua.
 
Yani Makolo kweli ni mbumbumbu ,Rage aliona mbali sana!!
Baada ya kukosa ubingwa ivi ndo vitu mnapendaga kujifariji navyo.
Rage ajengewe sanamu.
 
Sijasahau ahadi ya Mo kuhusu uwanja wa simba arena. Na matrekta, tingatinga na wafanyakazi wakaenda site picha zikapigwa. Au ngoja ninyamaze.

Yanga wamesema hawachezi
Vipi alisema baada ya muda gani uwanja utakuwa umekamilika, maana huyo wenu alisema ndani ya miaka minne ya utawala wake, kuhusu kutokucheza wenye akili wameshajua mchezo unaoendelea wala hawaumizi vichwa
 
Sijasahau ahadi ya Mo kuhusu uwanja wa simba arena. Na matrekta, tingatinga na wafanyakazi wakaenda site picha zikapigwa. Au ngoja ninyamaze.

Yanga wamesema hawachezi
Hivi kabisa unaweza kusimama kudogosha ambacho Simba imefanya mpaka sasa kwenye suala la miundombinu kulinganisha na walichofanya Yanga?
 
Hawajui Mamelodi na Esperance wamekwenda Club World Cup kwa sababu ya ranking.

Ila nadhani wanajua maana ya mafanikio ya Simba na umuhimu wake, ni chuki tu na roho mbaya vinawasumbua.
Wakiambiwa ligi ya tanzania imetambulishwa na imepaishwa na simba kimataifa wanakimbilia kusema simba wana nini huko kimataifa, wao faida wanayoiona ya timu kuwa kimataifa ni kuvaa medali tu na kuchukua kombe ambalo hata wao hawana yani duniani kote sijawahi kusikia timu ya mpira inajisifia medali yanga ndio wa kwanza, anyway ndipo uwezo wao ulipoishia wao wamechagua kuridhika na petty issues acha simba waendelee kutengeneza project ya muda mrefu wao acha waendelee kushangilia kuwafunga simba na kuzifunga timu za ligi kuu goli tano tano, huko kimataifa wanasubiri simba wafikie rekodi fulani ndio na wao waanze kuifukuzia hiyo rekodi ili simba wasipate cha kusema maana wao kama wao hawana malengo yoyote ya maana, mafanikio yao makubwa huwa ni kufikia rekodi za simba tu ila as long as simba hawajafikia rekodi fulani basi nao hawaoni haja ya kufikia hiyo rekodi maana wao ilimradi tu simba hawana cha kuwatambia
 
Tatizo unaandika hadi unajifunga mwenyewe
 
Hawa ndio wanaojielewa?
 

Attachments

  • 1740302056178.jpg
    182.9 KB · Views: 24
Hivi wewe kweli akili zimo? Fainali ya CAF ipi ambayo Yanga haijafika?
 
Mlichangishwa michnango kujenga uwanja wa bunju mmefikia wapi? Mliahidiwa msimu huu unaoenda ukingoni mngetumia uwanja wa bunju kama uwanja wa nyumbani je ni mechi ngapi mmecheza na ni nani amehoji
 
Hivi kabisa unaweza kusimama kudogosha ambacho Simba imefanya mpaka sasa kwenye suala la miundombinu kulinganisha na walichofanya Yanga?
Nimetaja uwanja specific kabisa. Sijajua kuhusu miundimbinu mingine
 
Simba imechukua nini kimataifa ndugu mbumbumbu
 
Nimetaja uwanja specific kabisa. Sijajua kuhusu miundimbinu mingine
Kwani ule wa Bunju siyo uwanja? Pale Bunju Simba wakitaka, ukarabati wa chini ya milioni 50 wanautumia vzr tu kwa ligi kwa kuanzia ila kwa sababu ya standard waliyojiwekea na kuwa malengo makubwa ya miundombinu ndiyo maana nadhani imechelewa. Lakini pia kuna sababu zingine za uchelewashwaji wa mabadiliko ya mfumo wa umiliki wa klabu.

Wakati Simba ina viwanja vyake vya mazoezi, Yanga inarandaranda mara wapi Kimbiji, mara wapo Mwenge, mara wapo Kurasini, mara wanataka kuvamia uwanja wa Simba wa Bunju. Ukiwa mkweli bila kuweka ushabiki, hauwezi kulinganisha hizi timu mbili kwenye eneo hilo.
 
hatuchezi....ndio maana kuna makamu kila kitu kinaenda vyema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…