Tatizo ni kwamba hayo mafanikio mkijivunia yanga mnajiona mko timamu ila wakijivunia simba ndio hawajielewi, ninyi msimu huu hadi sasa si ndio mnajivunia ngao ya jamii na kombe la muungano au siyo ninyi, mlipofika fainali cafcc mkaanza kujivunia medali mlipoona msimu huu simba naye anaenda kuvaa medali mkayaita mashindano ya umiseta sijui na upuuzi ganiHawa ndio wanaojielewa?
Tatizo siyo kufika tu fainali tatizo mmecheza fainali mkiwa na kikosi mlichookita bora na kimekamilika, mna striker kama mayele na bado mkashindwa kubeba lile kombe mbele ya usm alger, ambao hawakuwahi kubeba lile kombe hapo kabla ndio wakalibebea kwenu kwa mara ya kwanza na wala hawakuwa wagumuHivi wewe kweli akili zimo? Fainali ya CAF ipi ambayo Yanga haijafika?
Hersi aache kujificha kwenye sketi ya Mahondaw. Ameitelekeza timu wakati iko kwenye hatari ya kushuka daraja. Klabu inamfia katika mikono yake, yeye yupo huko anakula pizza na Hamisa Mobetto.
Nilisikia Ki alimuolea on behalf!!Hersi aache kujificha kwenye sketi ya Mahondaw. Ameitelekeza timu wakati iko kwenye hatari ya kushuka daraja. Klabu inamfia katika mikono yake, yeye yupo huko anakula pizza na Hamisa Mobetto.
Labda ndo maana kina AliKamwe ghafla wamecharuka kudai pesa za CRDB. Inaonyesha kuna malimbikizo ya madeni huko kwa Trump, boss anatapanya pesa za klabu anawaahidi atamleta Messi.
Na hili nalo ni moja ya matatizo ya mashabiki wa yanga nilisahau kuliainisha hapo hili suala la kuona kama kila mchango unaochangishwa na timu yako basi unaibiwa au kuliwa na watu wachache, kama mashabiki wa simba wenyewe hawajalalamikia hiyo michango unajuaje kama wameumia au hawajafurahia kuchanga maana inaonekana ninyi kuchangia timu yenu ni suala la anasa kiasi kwamba mnataka kila senti mnayotoa mjue imetumika vipi hata kama maendeleo ya timu mnayaona, niliona hata ile ishu ya mashabiki wa simba kukatishwa tiketi za kwa mkapa huku fainali ilitakiwa ichezwe zanzibar mashabiki wa yanga ndio mlilishikia bango na kujifanya wasemaji wa mashabiki wa simba ilihali wenyewe sijawasikia wakilalamikia hiyo michango yao maana yake walitoa kwa hiyari na pesa ndogo kama hizo kwao siyo tatizo ili mradi waone timu inapiga hatua mahaliMlichangishwa michnango kujenga uwanja wa bunju mmefikia wapi? Mliahidiwa msimu huu unaoenda ukingoni mngetumia uwanja wa bunju kama uwanja wa nyumbani je ni mechi ngapi mmecheza na ni nani amehoji
Hilo swali tunatakiwa tuwaulize ninyi uto mnaodai eti mna timu bora kuliko simba mmewazidi nini kwa sasaSimba imechukua nini kimataifa ndugu mbumbumbu
So far 5imba ana trophy gani msimu huu?Tatizo ni kwamba hayo mafanikio mkijivunia yanga mnajiona mko timamu ila wakijivunia simba ndio hawajielewi, ninyi msimu huu hadi sasa si ndio mnajivunia ngao ya jamii na kombe la muungano au siyo ninyi, mlipofika fainali cafcc mkaanza kujivunia medali mlipoona msimu huu simba naye anaenda kuvaa medali mkayaita mashindano ya umiseta sijui na upuuzi gani
Sisi tuna kombe la Toyota international tournament nyie mna kombe gani?Hilo swali tunatakiwa tuwaulize ninyi uto mnaodai eti mna timu bora kuliko simba mmewazidi nini kwa sasa
huyo huyo ALI KAMWE anawatosha INJINIA watamuwezea wapiKawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa.
Cha kushangaza, Yanga hivi sasa ipo kwenye mgogoro mkubwa na vyombo karibia vyote vya michezo nchini ila Rais wake Hersi Said yupo huko anajivinjari. Hii ina tafsiri gani? Ni mbinafsi? Amesahau majukumu yake ya msingi? Ni dharau kwa mamlaka za nchi? Bila Yanga hata huko CAF asingepata na hawezi kubaki na hizo nafasi.
Hersi alipoanza pale Yanga na alipokuwa anatafuta kuaminiwa, alikuwa anaingia front mwenyewe na hilo ndiyo lilimjengea sifa kwa mashabiki wa timu yake. Nakumbuka story ya kutekwa kwa Kibu, alihusika moja kwa moja.
Leo hii, Yanga iko katika hatari ya kushuka daraja, huku mitandaoni wanarushiana barua na shutuma na mamlaka za nchi, halafu yeye amejificha kwenye mwamvuli wa "kamati ya utendaji". Klabu ameachiwa msemaji anayebwabwaja lolote linalomjia kichwani.
Najua mashabiki wa Yanga wanamuona huyu bwana kama masihi wao na hawadiriki kumsema kwa lolote baya ila najua wakikaa chini wenyewe wanawaza makosa na madhaifu yake na yanawaumiza sana kimoyomoyo.
Mlikuwa mnampamba, watu mwaka huu wakaamua kumuonyesha mjini walikuja kabla yake, akaamua kula kona na kumuachia timu Mzambia na yule roporopo. Timu inazama nyie mnashangilia, ngoja mjikute playoff.huyo huyo ALI KAMWE anawatosha INJINIA watamuwezea wapi
yani YANGA inazama!!!Mlikuwa mnampamba, watu mwaka huu wakaamua kumuonyesha mjini walikuja kabla yake, akaamua kula kona na kumuachia timu Mzambia na yule roporopo. Timu inazama nyie mnashangilia, ngoja mjikute playoff.
Msipokuja Jpili mnadhani mtakuwa kwenye hali gani? Kinachowapa kiburi ni kwa sababu mna uhakika wa kuwafunga Singida kwenye fainali. Najua nia yenu muelekee CAF shirikisho, hizi zote mnazofanya ni zuga tu.yani YANGA inazama!!!
nimecheka sana,kama timu inayozama ni YANGA basi timu zingine ikiwemo simba zipo kwenye hali mbaya sana
Hilo swali ulipaswa uulize baada ya ligi kuisha, ni kama madrid sasa hivi ndio mtu anaweza akawauliza kwamba wana trophy gani msimu huu, vinginevyo mtakuwa mnajitekenya wenyewe na kujichekeshaSo far 5imba ana trophy gani msimu huu?
Ndio yale yale uliyotoka kuwasema simba hapa kwamba wanajivunia mafanikio madogo, sasa hilo kombe lina hadhi gani hadi useme ni kombe la kujivunia na kumtambia mpinzani wako, hilo kombe lina hadhi gani huko caf kuliko list ya timu zilizopo top five kwenye caf ranking kama timu bora africaSisi tuna kombe la Toyota international tournament nyie mna kombe gani?
Leta hata hilo kombe lisilo na thamani tulioneHilo swali ulipaswa uulize baada ya ligi kuisha, ni kama madrid sasa hivi ndio mtu anaweza akawauliza kwamba wana trophy gani msimu huu, vinginevyo mtakuwa mnajitekenya wenyewe na kujichekesha
Ndio yale yale uliyotoka kuwasema simba hapa kwamba wanajivunia mafanikio madogo, sasa hilo kombe lina hadhi gani hadi useme ni kombe la kujivunia na kumtambia mpinzani wako, hilo kombe lina hadhi gani huko caf kuliko list ya timu zilizopo top five kwenye caf ranking kama timu bora africa