Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

Hili swali nilijiuliza juzi wakati wanamuapisha askari wa gwaride (viongozi) wote ni waislamu,inawezekana kule ni waislamu tu.
Hata pared commander alikua ni muislam sema anaitwa Matutu Sengo.
 
Eti zanzibar napo kuna rais..wakati wanalishw na tanganyika..sibora tu tuufanye mko ijulkane moja.

Chaajabu huyu raisi mpa hata hafananii kabisa..yana kama monita wa darasa la pili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yaani unaonekana unaongea kwa chuki na hasira sana em kwanza pata ghahawa kidogo ushushe presha.
 
Mimi niliahidiwa nitakuwa ofisa uhusiano TPA end of the day nikaambulia buku tano tu
Tuliwaambia wapenzi wa Tundu hapa wakawe mawakala wasijesema wameibiwa kura wakachukulia powa
Walioenda nao hawakupewa posho ati waliahidiwa teuzi. Chadema hawajawahi kuwa serious na siasa jamani
 
Watumishi wa umma wa huko Zanzibar malofa sana, wanaacha kumchagua Seif aliyewaahidi kufanya mshahara wao mara 2 ya wanachopokea sasa wakamsaidia mtu mwigizaji wa CCM kuiba kura. Ona sasa hata akatumbua Mabosi wote hali zao zitabaki palepale
 
Siyo tu ateme cheche,hata akinywa cheche bado hajachaguliwa na wa Zanzibar
 
Siyo tu ateme cheche,hata akinywa cheche bado hajachaguliwa na wa Zanzibar
 
Nani amekudanganya kama Zanzibar kuna Raisi ? najua itakuwa ni tume ya Zec lakini mtafute Mheshimiwa Magufuli ukae nae chemba asiwepo mtu halafu muulize au mwambie Zanzibar tumepata Raisi mbona atakuona wakuja akuulize wee wa waapii?

Nikumegee tu Zanzibar hakuna raisi japo wenyewe wanajitoa ufahamu na hawajui ,Mbele ya Magufuli Zanzibar hakuna Raisi,Jiulize siku ya kuapishwa Magufuli alihudhuria ? Hakuna sababu za msingi sababu iliyojificha ambayo haianikwi ni kuwa Zanzibar hakuna cha uraisi wala uwakilishi Zanzibar wanaotambulika TANZANIA au tuseme UNITED REPUBIC OF TANZANIA ni wabunge.

Waliobakia sijui wawakilishi ,raisi ni kama kuku waliowekwa bandani na kuwekewa chakula cha kutosha, kwa maana mapato madogomadogo ndio chakula walichoachiwa. Magufuli akiamua kumchinja au tutumie lugha iliyozoeleka kumtumbua awe Raisi au muwakilishi ni kutuma SMS.
 
Hivi hadi Karne hii kuna watu wanatamani kuwagawa watanzania kwa kuutumia ukabila na dini??
Hivi kwanini wapinzani wanapenda kuchochea chuki ambazo hawawezi kuzimaliza huko mbeleni?
Jitambue wewe. Chuki huletwa kwa kukosekana haki. Ihusishe Halmashauri ya kichwa chako ielewe kuwa amani ni tunda la haki.
 
Cku moja baada ya kuapishwa Rais wa Zanzibar Dr Husein Mwinyi alitembelea bandar ya Malindi Zanzibar na kumtaka mkurugenzi mtendaji wa bandari kufika ofisini kwake jana asubuhi.

Kisha jana hiyo hiyo baada ya kikao akafikia maamuzi ya kumtumbua mkurugenzi huyo na kiteua mkurugenzi mpya. Chapa kazi baba tunufaike na uchumi bluuu
 
Back
Top Bottom