Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,313
Hata pared commander alikua ni muislam sema anaitwa Matutu Sengo.Hili swali nilijiuliza juzi wakati wanamuapisha askari wa gwaride (viongozi) wote ni waislamu,inawezekana kule ni waislamu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata pared commander alikua ni muislam sema anaitwa Matutu Sengo.Hili swali nilijiuliza juzi wakati wanamuapisha askari wa gwaride (viongozi) wote ni waislamu,inawezekana kule ni waislamu tu.
Yaani unaonekana unaongea kwa chuki na hasira sana em kwanza pata ghahawa kidogo ushushe presha.Eti zanzibar napo kuna rais..wakati wanalishw na tanganyika..sibora tu tuufanye mko ijulkane moja.
Chaajabu huyu raisi mpa hata hafananii kabisa..yana kama monita wa darasa la pili.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na wabongo pia wamo tele tu.Wazanzibar
Ana msongo wa mawazo huyo labda aliwahi kutumbuliwa au anaranda na mifuko ya kaki.Umeandika nini sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
Nani alimchagua huyu kuwa Rais?
Tuliwaambia wapenzi wa Tundu hapa wakawe mawakala wasijesema wameibiwa kura wakachukulia powa
Walioenda nao hawakupewa posho ati waliahidiwa teuzi. Chadema hawajawahi kuwa serious na siasa jamani
Katumwa na magufuli huyo awateuwe hawo ni makada wa CCMSasa patawaka moto bara na visiwani
ZECNani alimchagua huyu kuwa Rais?
Anafuata maelekezo ya Dikteta kwa 100%katumwa na magufuli huyo awateuwe hawo ni makada wa CCM
Pale mgeni kutoka Kivule anapowatumbua wenyeji !
Hivi huko wakristo hawapo
Mkuranga yaitawala zenji
Jitambue wewe. Chuki huletwa kwa kukosekana haki. Ihusishe Halmashauri ya kichwa chako ielewe kuwa amani ni tunda la haki.Hivi hadi Karne hii kuna watu wanatamani kuwagawa watanzania kwa kuutumia ukabila na dini??
Hivi kwanini wapinzani wanapenda kuchochea chuki ambazo hawawezi kuzimaliza huko mbeleni?