Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

Wizara kutokua ya muungano haimaanishi hiyo ni wizara ya tanganyika. Hatuna serikali ya tanganyika, hivyohivyo hatuna wizara ya tanganyika
Rudia kufafanua, haieleweki kwa urahisi
 
Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.

Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Kuna serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambamo ndani yake kuna semi-autonomous serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Elewa hilo na sijui kama rais Kikwete alilijua hilo pia wakati anapanga madaraka ya urais.
 
Kuna serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambamo ndani yake kuna semi-autonomous serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Elewa hilo na sijui kama rais Kikwete alilijua hilo pia wakati anapanga madaraka ya urais.
Kikwete alipanga madaraka ya URais wa wapi ??! Hilo limenipita !
 
Mnalilia Tanganyika

Mkiitwa Watanzania Bara hamtaki, bavicha mna vituko visivyoisha!
Hatutaki kuitwa tu pale inapowapendeza kwa maslahi yao. Kama kuna mawaziri wa bara na uchukuzi ni wizara ya nara iweje waziri na katibu no wazenji
 
Mbona ametamka sawa tu,

Hivi unataka kusema sio kweli kwamba tuna mawaziri kutoka pande mbili za Zanzibar na tanzania bara?
Ni suala la muda tu, zenji wanapata nchi yao kilainiiii kabisa
 
Sasa wewe huelewi kuwa kuna Tanzania bara na Tanzania visiwani?


Si tuirudishe Tanganyika yetu, kama hilo la Tanzania bara na Tanzania visiwani halikuingii akilini.

Nyerere alituingiza mkenge?
 
Ufafanuzi mzuri kabisa !
 
Yani hapo nimetoa ufafanuzi nzuri haina haja ya kuvutana. Ni kwamba ukishakuwa na mainland it means kuna island. Over. Tusipende kutetea vitu visivyowezekana. Au hili nalo linahitaj ligi km la bandari.
Huku Tanganyika pia vipo visiwa kibao! Je mafia utaiita Tanzania Visiwani ?
 
Mama Samia kafanya vyema mbele ya halaiki, mbele ya Wafadhili kaweka sawa, Wazanzibari wasije wakadai mhgao kumbe hizopesa ni msada wa Bajeti ya Tanzania bara. Haziihusu bajeti ya Zanzibar.


Nashangaa kwanini kila jema analilofanya mama Samia wale wagalatia wajinga wahinga lazima mumuandame? Kawakosea nini?
 
Mkuu yule mpemba hana mpango na sisi Watanganyika ndo maana katuuza kwa waarab. Yaani ni ilee akitaka kutamka JMT kuna dude linamkaba koo kwa madhambi alotufanyia wamatumbi.
Chuki itakuuwa MDANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…