Hiyo serikali ya Tanzania bara ipo wapi?Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.
Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Hakuna Waziri wa serikali ya Tanzania bara.Alivyotamka ndio sahihi!
Ndio wapo,Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar na Kila upande una Mawaziri.Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?
Ziko Chini ya serikali ipi. Pole pole mtaikubali serikali ya Tanganyika.Kuna wizara ambazo sizo za muungano, rudi kwenye vipengele vya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar
Pesa za Tanganyika zikija anaitambua Tanganyika, ila serikali ya Tanganyika ikidaiwa hataki.Mama Samia kafanya vyema mbele ya halaiki, mbele ya Wafadhili kaweka sawa, Wazanzibari wasije wakadai mhgao kumbe hizopesa ni msada wa Bajeti ya Tanzania bara. Haziihusu bajeti ya Zanzibar.
Nashangaa kwanini kila jema analilofanya mama Samia wale wagalatia wajinga wahinga lazima mumuandame? Kawakosea nini?
Hiyo serikali ya Tanzania bara ipo wapi?Wanajitoa ufaham...
Watanzania mnapenda porojo sana .Mkuu yule mpemba hana mpango na sisi Watanganyika ndo maana katuuza kwa waarab. Yaani ni ilee akitaka kutamka JMT kuna dude linamkaba koo kwa madhambi alotufanyia wamatumbi.
Sijakuelewa, sijamsikia kuitamka Tanganyika, wewe umemsikia? Yeye kasema Tanzania bara.Pesa za Tanganyika zikija anaitambua Tanganyika, ila serikali ya Tanganyika ikidaiwa hataki.
Kuanzia lini?Sijakuelewa, sijamsikia kuitamka Tanganyika, wewe umemsikia? Yeye kasema Tanzania bara.
Hiyo Tanganyika iko wapi? Mimi naitamani sana Tanganyika yangu.
Wewe kweli kilaza, wizara ya ni ya Tanzania bara ila ipo chini ya serikali ya Muungano. Acheni kutetea ujinga. Kwanini hiyo wizara ya Tanzania bara isiwe na serikali yake?Hao Wote ni Mawaziri wa Tanganyika ukiondoa Ulinzi, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani!
Haionekani kwa sababu imevaa koti kuuuubwa la JMT !Hiyo serikali ya Tanzania bara ipo wapi?
Hiyo serikali ya Tanzania bara ipo wapi?
Kasome post #52.Hiyo serikali ya Tanzania bara ipo wapi?
we hujaelewa kitu, tuambie rais wa hiyo nchi inayoitwa Tanzania Mainland. Kwanza hakuna wizara ya Tanzania bara,Uchukuzi ni wizara ya Muungano ?
Kabisa !Watanzania mnapenda porojo sana .
Kuanzia nilipojuwa kuwa mimi sikuulizwa kama nataka kuubadili Utanganyika wangu niwe Mtanzania.Kuanzia lini?