Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Acha mbwembwe za kishamba mdogo wangu. Yeye kasema ataongea na wale waliowatuma kuwawakilisha huku.
Diplomasia siyo u mbumbumbu kama wako huu. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Uoga wako peleka kwenye familia yako
Kwa hiyo hajui kuwa wale wanatamka kwa niaba ya Serikali zao? Hajui kuwa nchi za wenzetu mifumo na Sera ndo zinafanya kazi sio utashi wa kiongozi wa nchi?

Anadhani mifumo yao kama kwetu huku ambako lazima ujue Rais amemkaje ndo utoe tamko?
 
Unajua kuna fedha na Mali nyingine za urusi zimezuiwa, unajua madhara ya vikwazo Kwa urusi, Kwa Nchi za ulaya magharibi kuacha au kupunguza manunuzi
Ripoti nyingi zimetoka kuwa mataifa ya Ulaya yananunua nishati Russia kwa back door.
Itizame Germany inavyokula hasara kwa kugomea ununuzi wa nishati toka Russia.
China ilishaweka mikakati ya kuiokoa Russia kiuchumi na hata USA imekua ikitoa ripoti na kuishutumu na pia imeipiga China vikwazo kwa kuisaidia Russia kiuchumi.
Ndio maana unaona Russia bado iko stable.
 
Hii xhai
Achana na huyu mtu. Hili jabali linatisha.

Rais wa Iran juzi walimzimia helicopter iliyombeba tu watu wakarudisha mpira kati
Hii chai sasa mkuu. Taarifa za za kiuchunguzi kutoka Iran zinasema chanzo ni Hali mbaya ya hewa na kubeba idadi kubwa ya abiria.
 
Kibibi kimezingua mno leo, halaf kinaichukulia Tanganyika kama Kizimkazi vile, nyau kweli kibibi kile
 
Mdomo tu hamna lolote kungunguru nyie
 
Urusi usiingize kabisa kwenye huu mjadala Wala siyo level yetu. Urusi ndio alimaliza vita ya pili ya Dunia, urusi mpaka sasa hao unaowaona mabwana wakubwa wa Dunia wanamtegemea urusi hasa kwenye mafuta , gesi na teknolojia ya anga . Kijeshi kwa sasa Urusi anashika nafasi ya kwanza duniani baada ya Putin kusaini sheria ya kuongeza wanajeshi hapo Jana.
 
5. Iran ni wapuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…