Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Acha mbwembwe za kishamba mdogo wangu. Yeye kasema ataongea na wale waliowatuma kuwawakilisha huku.
Diplomasia siyo u mbumbumbu kama wako huu. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Uoga wako peleka kwenye familia yako
Kwa hiyo hajui kuwa wale wanatamka kwa niaba ya Serikali zao? Hajui kuwa nchi za wenzetu mifumo na Sera ndo zinafanya kazi sio utashi wa kiongozi wa nchi?

Anadhani mifumo yao kama kwetu huku ambako lazima ujue Rais amemkaje ndo utoe tamko?
 
Unajua kuna fedha na Mali nyingine za urusi zimezuiwa, unajua madhara ya vikwazo Kwa urusi, Kwa Nchi za ulaya magharibi kuacha au kupunguza manunuzi
Ripoti nyingi zimetoka kuwa mataifa ya Ulaya yananunua nishati Russia kwa back door.
Itizame Germany inavyokula hasara kwa kugomea ununuzi wa nishati toka Russia.
China ilishaweka mikakati ya kuiokoa Russia kiuchumi na hata USA imekua ikitoa ripoti na kuishutumu na pia imeipiga China vikwazo kwa kuisaidia Russia kiuchumi.
Ndio maana unaona Russia bado iko stable.
 
Hii xhai
Achana na huyu mtu. Hili jabali linatisha.

Rais wa Iran juzi walimzimia helicopter iliyombeba tu watu wakarudisha mpira kati
Hii chai sasa mkuu. Taarifa za za kiuchunguzi kutoka Iran zinasema chanzo ni Hali mbaya ya hewa na kubeba idadi kubwa ya abiria.
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.

Soma Pia
- Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Kibibi kimezingua mno leo, halaf kinaichukulia Tanganyika kama Kizimkazi vile, nyau kweli kibibi kile
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.

Soma Pia
- Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Mdomo tu hamna lolote kungunguru nyie
 
Usicheke. Putin saivi anaishwa silaha hadi anaenda kuomba silaha Iran na North Korea.

Wale watu sio wazuri kihivyo. Tumtahadharishe maza, ugomvi anaoununua bei yake ghali sana na wakimpigia rasmi lazima turudishe mpira kati maana anavyopenda kusafiri 🤣
Urusi usiingize kabisa kwenye huu mjadala Wala siyo level yetu. Urusi ndio alimaliza vita ya pili ya Dunia, urusi mpaka sasa hao unaowaona mabwana wakubwa wa Dunia wanamtegemea urusi hasa kwenye mafuta , gesi na teknolojia ya anga . Kijeshi kwa sasa Urusi anashika nafasi ya kwanza duniani baada ya Putin kusaini sheria ya kuongeza wanajeshi hapo Jana.
 
Kosugi, kuwa siriaz basi, yan Chombo cha usafiri,kama ndege iwe haijafanyiwa service toka mwaka 1970??? duh,kama ndivyo basi
1. Iran hawako makini
2. Iran wamemuua Rais wao
3. Irani hawajitambui
4. Iran ni maskini sana.

Haiwezekani, na haiwezekani toka mwaka ,1970 ndege iwe inafanya kazi bila service.

Taarifa yako ina walakini!
5. Iran ni wapuuzi sana
 
Back
Top Bottom