Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Ndo mana tunamsanua hapa. Anayoambiwa hapa hawezi ambivalent hata na hao TISS.. Public speech za namna hiyo, huwezi jua nani amekukatisha pumzi, hata wale ambao walikuwa wanashindwa namna ya kuingia, huwa ni rahisi sana kukuumiza..
. Ukiwa kiongozi mkubwa akili zitumike zaidi kuliko kukurupuka hovyo hovyo.
una hojaNaona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Ile hotuba ni kichekesho chs kitoto sanaNajua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
"Anaekulisha, Anakutawala."Huu ujinga wa kupagiana hata mi nikija kuwa Rais 1919 hautausikia kila mtu achezee kwao. Mpira nitaondoka nao.
Mi nitachotaka hapo tu ni uaminifu ktk kuteleza majukumu sio janja janja halafu watu wanaiibia nchi
. Hamna kitu pale 😁😁, Huwezi fananisha na teknologia ya wezetu huko majuu.Anajivunia wale wabeba vigogo vya miti migongoni.
By the time anauza gesi na nganoKama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Kule Kibondo kwa mzee silimu kanyoosha Mikono juu mtikisiko wa 2 hours kafukuza majenelali rundo......Achana na huyu mtu. Hili jabali linatisha.
Rais wa Iran juzi walimzimia helicopter iliyombeba tu watu wakarudisha mpira kati!
Usiichukulie geopolitics kiwepesi hivyo we jamaa.Ndege tu anazosafiri nazo zimetengenezwa na kampuni zoo. Teknolojia zote manazo wao!
Wakitaka kukufudisha wanaweza kukuzimia mitambo ndege yako ikiwa angani tu tukarudisha mpira kati!
1. Labda akiwa ndani ya ving'ora na kusindikizwa na msafara wa hali ya juu anaona amemaliza kila kitu.Ndo mana tunamsanua hapa. Anayoambiwa hapa hawezi ambivalent hata na hao TISS.
Huko CCM ndo wanasubiri aje mwingine makundi mengine wapate ulaji.
Usiichukulie geopolitics kiwepesi hivyo we jamaa.
Unadhani hao unaowasemea hawana akili!?
Unajua wakifanya unachojaribu kuki implicate watapata matokeo gani asi!??
Usisahau kuna mbabe kuliko hao ndio huyo aliyemfanya Putin asimame dhidi ya EU na NATO kwenye vita ya Ukraine licha ya vikwazo vingi vya kiuchumi.
Kuna mbabe mmoja ameshaleta balance of power.
Na hao unaowasema hawatumishiwi wakiendelea kujitekenya wanaendelea kumpa credit huyo mbabe mwingine mpinzani wao.
Achana uongo! Hiyo ni Slavery mentality tu. Kumbe ndio mnaowategemea? Janaume zima unakuwa mwoga kiasi hicho!!🤣Achana na huyu mtu. Hili jabali linatisha.
Rais wa Iran juzi walimzimia helicopter iliyombeba tu watu wakarudisha mpira kati!
Ile hotuba ni kichekesho chs kitoto sana
Mbona wamemshindwa Putin?Waulize Iran kikichotokea kwa Rais wao waliyemzika juzi kati
Ukweli utakuweka huru! Kama unakataa ukweli endelea kuamini uongo wakoAchana uongo! Hiyo ni Slavery mentality tu. Kumbe ndio mnaowategemea? Janaume zima unakuwa mwoga kiasi hicho!!🤣
China hamtegemei kibiashara USA na wala hamuibii teknolojia USA.Huyu ambsye nae kibiashara anamtegemea Marekani? Hadi kiteknolojia anategemea kumuibia mmarekani?
Mwanaume wa Dar Bwana!! Kuogompa tuuu!!Leo kachemka sana bi mkubwa. Hata tunayemjua kuwa ana sifa ya kuweka maji mdomoni ametuangusha sana
SawaMwanaume wa Dar Bwana!! Kuogompa tuuu!!
Pambana na maisha mkuu acha kutegemea mabeberu hata kufikiri.Ukweli utakuweka huru! Kama unakataa ukweli endelea kuamini uongo wako