Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Usiombe wale jamaa waanze kukuchukulia kama threat rasmi.

Kagame anawapigaga biti alafu anarudi mlango wa nyuma kuwapa Cobalt za Congo kusawazisha maneno yake.

Sasa wewe kila kitu unawapa wachina alafu unakuja kuwapiga biti za kitoto alafu ndege tu unayotumia teknolojia yote wanayo wao si unajitafutia shida?

Awe mpole tu asipende kujibishana nao. Wakimuamulia hata sekunde hachukui.
Anaongea moja Kwa moja na wakubwa wao, na hajui kama wamepata vibali toka Kwa wakubwa wao kutoa hayo matamshi, ama sivyo atawapigia wahusika wawaondoe
 
Wewe ni muongo! ndio mana umejichanganya kwenye post yako ya service. hujui hata kujenga hoja.
Nimekupa maelezo umeshindwa kuyachanganua waache wenye uelewa zaidi wajadili.
Hakuna ambacho hakikueleweka.

Uwe na jioni njema.
 
Hata wewe akili yako inakutima ivo, kwamba toka mwaka 1970, chombo hakikuwahi kufanyiwa service.? yani good 54 years bila service, like serious??

Inafikirisha sana! sio kila unachoambiwa unakubali, fikiria nje ya box .
Huyo jamaa ni mbishi tu hata kwenye mambo ambayo hayahitaji akili nyingi kutafakari.
 
Na kama jamaa anasema ni jaribio la kumuua lilifanyika, wewe unabisha kwanini?
Ninabisha kwasababu tatu;
-Netanyahu alikiri kwa mdomo wake kuwa hawahusiki na kifo cha Ebrahim.
-Uchunguzi umefanyika na ripoti ikagundulika ni uchakavu wa helikopta na hakukuwa na interference yeyote.
-Kiakili tu za kawaida hakuna matokeo positive ya kumuua rais wa Iran ilhali supreme leader ni Ayatollah,ni sawa useme uiangushe Israel kwa kumuua Rais wao ilhali mwenye supremacy ni Netanyahu.
 
Kwa akili za kawaida tu, wangeua wangetoka mbele kusema tumeua?
 
Nikutajie mauaji ya kisiasa aliyofanya Israel kwa usaidizi wa USA ndani ya Iran na akakiri kafanya!??

Ninayajua hauna haja ya kunitajia. Una maoni, ila shida unayatetea kwa namna inayotia mashaka fact zako. Eti ndege haijafanyiwa service tangu lini?
 
Ninayajua hauna haja ya kunitajia. Una maoni, ila shida unayatetea kwa namna inayotia mashaka fact zako. Eti ndege haijafanyiwa service tangu lini?
Haikuwahi kubadilishwa kifaa chochote kwasababu toka utawala wa kiislam uingie Iran, USA na Canada wali ban uuzaji wa vifaa vya anga na vyombo vya anga ikiwemo hizo helikopta kwa Iran.
Yalikua yanafanyika matengenezo ya kawaida tu.
Na hayo sio maelezo yangu.
Vyombo vya habari kama reuters na vingine ndiyo viliandika.
 
Ugomvi anaotaka kuununua una hatari sana. Hatutaki machafuko au kuwa na Rais wa Katiba mwingine saivi.
Na wale jamaa wanaweza kutumia Taifa by jingine kuwafanyia hiyo kazi , kama wanavyomtumia Ukraine, kumdhoofisha Putin, hata Xing anasikilizia kwa mbali hiyo vita ya Ukraine.
 
Back
Top Bottom