Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, si kila kinachopublish-iwa kwenye media ukibebe kama kilivyo. Vingine haviko kama vilivyohadithiwa inahitaji utumie common sense ndogo tu kuvielewa. Iweke gari isipate service miezi 6 tu uone hali yake halafu piga hesabu hio helicopter kwa muda wa siku ulizosema.Haikuwahi kubadilishwa kifaa chochote kwasababu toka utawala wa kiislam uingie Iran, USA na Canada wali ban uuzaji wa vifaa vya anga na vyombo vya anga ikiwemo hizo helikopta kwa Iran.
Yalikua yanafanyika matengenezo ya kawaida tu.
Na hayo sio maelezo yangu.
Vyombo vya habari kama reuters na vingine ndiyo viliandika.
Yaani huyo mama anadhani hao mabalozi ni wajinga kiasi kuwa hawajui ukweli wa nani anafanya hayo mauaji? Hata angedhikiri uchi hapo kwa Mkapa mchana kweupe, huu utekaji na mauji yanayofanywa na vyombo vya dola yana mkono wake. Hizo hasira anazoonyesha haziwezi kuondoa ukweli wa kinachoendelea kufanywa na vyombo vya dola. Wao wawarudishe hao vijana wakiwa hai au wamekufa, simple.Bwashee we soma kama hujaelewa usilazimishe kuelewa!
Bado uko Mwanga? 🐼Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Hahaha hahaha, halafu kesho au kesho kutwa tunaenda kuomba fedha zao, bahati yetu tuliongea LOKO LANGUEJI, hebu tuongee U'NGE U'NGE tuone, mapema Jumamosi asubuhi tungepitisha sheria ya ushoga.Naona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Soma Pia
- Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Kuna Mwenzao mmoja alileta mdomo akasahau walimchukua vipimo vya DNA ...Ndani ya ndege kilipulizwa kitu Cha maabara akaondoka mhusika tu.Ndege tu anazosafiri nazo zimetengenezwa na kampuni zoo. Teknolojia zote wanazo wao!
Wakitaka kukufudisha wanaweza kukuzimia mitambo ndege yako ikiwa angani tu tukarudisha mpira kati!
Dah hii kali ya Karne anadhani anaweza kuwachongea mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Marekani na Canada kwa serikali zao watumbuliwe?😂wasanii 200 na wana michezo wachache walio lambishwa asali wana mdanganya aone kama anapendwa.
ila kama ume msikia vizuri anasema eti wale jamaa walitoa tamko bila kibali kutoka mataifa yao ..
sasa si awatimue nchini tujue kama ni kweli
Leo vipi? Password imeibiwa?Huyu ambsye nae kibiashara anamtegemea Marekani? Hadi kiteknolojia anategemea kumuibia mmarekani?
Bado kanaendaga kwa hao jamaa kuomba mikopo,eti leo kanawaona wakawaidaNdege tu anazosafiri nazo zimetengenezwa na kampuni zoo. Teknolojia zote wanazo wao!
Wakitaka kukufudisha wanaweza kukuzimia mitambo ndege yako ikiwa angani tu tukarudisha mpira kati!
Naomba nikuulize sio kwa ubaya.Ndugu, si kila kinachopublish-iwa kwenye media ukibebe kama kilivyo. Vingine haviko kama vilivyohadithiwa inahitaji utumie common sense ndogo tu kuvielewa. Iweke gari isipate service miezi 6 tu uone hali yake halafu piga hesabu hio helicopter kwa muda wa siku ulizosema.
Kwa muda uliotaja mpaka sasa hio taarifa inakuwa ni ya uongo! Ni kitu ambacho hakiwezekani.Naomba nikuulize sio kwa ubaya.
Service ya matengenezo ya kifaa na service ya kubadilisha kifaa vinafanana!?
Kwasababu wanachodai wao ni kuwa walikua wanafanyia maintenance helikopta kwa vipuli vile vile chakavu.
Je hilo haliwezekani?
Basi aya tufanye wametudanganya.Kwa muda uliotaja mpaka sasa hio taarifa inakuwa ni ya uongo! Ni kitu ambacho hakiwezekani.
Ulishanya research au unandika tu? China itaanza kutambaa si muda mrefu- hali mbayaChina hamtegemei kibiashara USA na wala hamuibii teknolojia USA.
Inaonekana uko mis informed sana.
Acha kukaa vijiweni fanya tafiti.
Hiyo China unayoibeza sasa hivi ndio inaongoza kwenye uwekezaji wa R&D.
Hiyo China ndio inaongoza kwa contribution of manufactured goods duniani.
Hiyo China unayoibeza ndio nchi pekee iliyokopesha fedha sawa na IMF/WB.Kitu ambacho USA akikifanya anafirisika on the spot.
Hiyo China unayoibeza ndio inayoongoza kwa gold reserves na dollar reserve duniani.
Embu kaeni msome msichukue stori za vijiweni.
Old school commieHili tukio walilikana na hakuna namna wamehusika.
Embu msipende kukariri vitu.
Mfumo wa helikopta ya Ebrahim Raisi ulikua wa zamani na ulishabadilishwa.
Narudia tatizo lilomuua ni la kiufundi sio assassination attempt.
We kaa endelea kuwa brain washed.
Vyuo vyamarekani kuna kwejye kila coz hakisekani raia wa kichina acha ubishi Mchina aslimia 90% ya bidhaa zake anauza sana U.S.A na ulaya ndo anakopata faida huku afrika anauza takatakaChina hamtegemei kibiashara USA na wala hamuibii teknolojia USA.
Inaonekana uko mis informed sana.
Acha kukaa vijiweni fanya tafiti.
Hiyo China unayoibeza sasa hivi ndio inaongoza kwenye uwekezaji wa R&D.
Hiyo China ndio inaongoza kwa contribution of manufactured goods duniani.
Hiyo China unayoibeza ndio nchi pekee iliyokopesha fedha sawa na IMF/WB.Kitu ambacho USA akikifanya anafirisika on the spot.
Hiyo China unayoibeza ndio inayoongoza kwa gold reserves na dollar reserve duniani.
Embu kaeni msome msichukue stori za vijiweni.
Mama busara za mwenye hekima ni kukaa kimya,hao watu hawajibiwi hadharani.Achana na huyu mtu. Hili jabali linatisha.
Rais wa Iran juzi walimzimia helicopter iliyombeba tu watu wakarudisha mpira kati!