robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Ukishasema dunia ya wanaume, binafsi nasema ni makuzi: Alishajiruhusu kuwa chini ya mwanaume, nasikia ni mke wa tatu: Wa tatu! Kwa maana nyingine sehemu kubwa ya maisha yake imekuwa ni mapambano hata na wanawake wenzake.Wanawake tunajiamini sana, tatizo ni kuwa tuko katika dunia ambayo mwanamke haruhusiwi kujiamini, Mwanamke ukijiamini utaitwa majina, utapewa majina, na inafika muda utaanza kuyaamini majina hayo ndiyo majina yako. Bado tuna changamoto kubwa, na battle letu ni kubwa sana.
Mama hajayasema hayo kwa bahati mbaya, kuna chokochoko kubwa kutoka dunia ya kiume.
Ameshapata nafasi, atafanya vizuri. Ambao hawajaridhika watulie tu.
Kwa ujumla akiendelea kujitaja juu ya haya, anawaaminisha watu kwamba anatambua mapungufu yake na tutaanza kuyatafuta. Yeye asimamie madraka yake kwa vitendo na siyo mipasho kwa wanaomkwaza.