Rais wetu SSH - Waadventista wasabato nchini tukuombe shughuli za uchaguzi zisiwe siku ya Sabato

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,918
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
 
Aliyekukataza kusali ni nani, kwani ni lazima wewe ukapige kura. Nenda kusali na kuendekeza dini za kuletewa.
 
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
Mbona huo utaratibu umeshabadilishwa siku nyingi, hata wanaosali jumapili walilalamika kuhusu hilo na Serikali ikaweka uchaguzi katikati ya wiki na inakuwa public holiday.
 
Mi sioni haja ya kupiga kura maana kura za wananchi haziheshimiwi,upige usipige wagombea wa ccm watapita bora nibakie nyumbani if my one vote can not make a difference,
Ccm wanataka watendewe haki kwenye uchaguzi wa ndani ya chama, lakini wenyewe hawataki kuwatendea wagombea wa vyama vingine haki,
 
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
Wasabato ni moja ya watu wa ovyo sana dunia hii.
 
Mbona huo utaratibu umeshabadilishwa siku nyingi, hata wanaosali jumapili walilalamika kuhusu hilo na Serikali ikaweka uchaguzi katikati ya wiki na inakuwa public holiday.
Kama wameweka katikati ya wiki basi watakua wanatuonea sisi tunaopenda kufanya kazi.
 
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
UChaguzi utafanyika katikati ya wiki, na siku hiyo itakuwa ni siku ya mapumziko ya kitaifa. Hasitokee mtu akalalamika kwamba alikosa nafasi ya kutumia haki yake ya kumchagua kiongozi anayemtaka.
 
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
Mimi kama Abdul, nimesikia
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
Mimi kama Abdul wa mchongo, nimeskia kilio chenu wana sda. Nitamshauri mama uchaguzi uwe jumatatu ili tuzipate kura zenu. Imeisha hiyo
 
Back
Top Bottom