Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Waza kitofauti kidogo.Lazima azingatiwe,ikiwa dini yake inamzuwia kufanya shughuli jumamosi,basi uchaguzi usiwe jumamosi
Kuna dini ngapi hapa Tanzania?
Kuna siku ngapi katika wiki?
Na kila dini ikiwa na siku yake maalum ya kupumzika ili kuabudu tu, na huo uamuzi ukitakiwa kuheshimiwa na serikali, uchaguzi utafanyika lini?
Hivi unadhani wanaosali Jumapili, wanafurahia uchaguzi uwe jumapili ili waache kwenda kwenye ibada na badala yake waende kupiga kura?
Hivi unadhani waislamu wanafurahia sana Ijumaa iwe siku ya kazi, lakini Jumamosi na Jumapili ziwe siku za mapumziko kisa kuna watu siku ya jumamosi na jumapili wanakwenda kusali?