Rais wetu SSH - Waadventista wasabato nchini tukuombe shughuli za uchaguzi zisiwe siku ya Sabato

Rais wetu SSH - Waadventista wasabato nchini tukuombe shughuli za uchaguzi zisiwe siku ya Sabato

Mi sioni haja ya kupiga kura maana kura za wananchi haziheshimiwi,upige usipige wagombea wa ccm watapita bora nibakie nyumbani if my one vote can not make a difference,
Ccm wanataka watendewe haki kwenye uchaguzi wa ndani ya chama, lakini wenyewe hawataki kuwatendea wagombea wa vyama vingine haki,
Sasa kwanini unampigia kura mgombea ambaye unajua hawezi kutangazwa ?
 
Uchaguzi miaka yote ni jumapili, wakatoliki hatuna shida sisi, tunagonga misa na kura tunapiga.
 
Aliyekukataza kusali ni nani, kwani ni lazima wewe ukapige kura. Nenda kusali na kuendekeza dini za kuletewa.
Lazima azingatiwe,ikiwa dini yake inamzuwia kufanya shughuli jumamosi,basi uchaguzi usiwe jumamosi
 
Lazima azingatiwe,ikiwa dini yake inamzuwia kufanya shughuli jumamosi,basi uchaguzi usiwe jumamosi
Sabato iheshimiwe na kila mwanadamu, siku ya Bwana ni special for resting and Worship the almighty God of Israel
 
Sabato iheshimiwe na kila mwanadamu, siku ya Bwana ni special for resting and Worship the almighty God of Israel
Mungu wa israel (yakobo) wewe anakuhusu nini!?..naunga mkono sabato kuheshimiwa kwa kuwa nchi ina wasabato pia
 
Sasa kila mtu akisema haya kwa imani yake si hakutakua na siku kiongozi? Au iwe usiku?
 
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Sio lazima, kama hawezi kupiga kura Jumamosi na asipige kura kwani hana mchango wowote katika taifa.
Hata kama hana mchango kama unavyoamini,bado ni mtu wa taifa hili, lazima athaminiwe,maana hata mbwa wa mtaani huchanjwa kwa gharama ya serikali
 
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
Kwani mmelazimishwa kushiriki?

Hivi siku zote saba zikiombwa na dini saba tofauti, halafu serikali ikazikubalia zote, uchaguzi utafanyikaje?

Pia, mnamuomba rais, kwani rais ndiye anapanga siku ya uchaguzi?
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
Siku hiyo hata kula msile,msioge,msipumue wala kutikisika.Wayahudi-mchangamko huwa mna madai lukuki sana.
 
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.

Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.

Tunakupenda sana.
Nyinyi ni wajinga wakubwa.
Nchi inaangamia halafu mko kimya, yaani kwenu nyinyi watu wafe, watu wabakwe, wezi watambe huko serikalini, kila uchafu ufanyike katika hii nchi mnaona ni sawa kikubwa tu serikali iheshimu siku ya sabato!
 
  • Thanks
Reactions: K11
Sasa si ndio vizuri wawe kanisani wasiende kupoteza kura zao wabaki nazo
 
Hizi imani,hakuna watu wasumbufu kama wasabato kwenye taasisi,kuanzia shuleni,vyuoni na hata sehemu za kazi.Kila mtu akisema siku yake itambuliwe nchi haiwezi kwenda,mashahidi wa Jehova alhamisi na ijumaa waislam........kuna mazingira nilipita Msabato haruhusiwi kupata kazi
 
Back
Top Bottom