Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Futa hiyo Tu weka NiNi ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Aliyekukataza kusali ni nani, kwani ni lazima wewe ukapige kura. Nenda kusali na kuendekeza dini za kuletewa.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Mbona huo utaratibu umeshabadilishwa siku nyingi, hata wanaosali jumapili walilalamika kuhusu hilo na Serikali ikaweka uchaguzi katikati ya wiki na inakuwa public holiday.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
na isiwe jumapili! iwe siku ya kizimkaziNi ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Wasabato ni moja ya watu wa ovyo sana dunia hii.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Kama wameweka katikati ya wiki basi watakua wanatuonea sisi tunaopenda kufanya kazi.Mbona huo utaratibu umeshabadilishwa siku nyingi, hata wanaosali jumapili walilalamika kuhusu hilo na Serikali ikaweka uchaguzi katikati ya wiki na inakuwa public holiday.
Nyie nendeni mkafanye kazi sie tutaenda kupiga kura, maana sisi hatupendi au hatuna kazi.Kama wameweka katikati ya wiki basi watakua wanatuonea sisi tunaopenda kufanya kazi.
Bora wafanye jumamosi au jumapiliNyie nendeni mkafanye kazi sie tutaenda kupiga kura, maana sisi hatupendi au hatuna kazi.
UChaguzi utafanyika katikati ya wiki, na siku hiyo itakuwa ni siku ya mapumziko ya kitaifa. Hasitokee mtu akalalamika kwamba alikosa nafasi ya kutumia haki yake ya kumchagua kiongozi anayemtaka.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Mimi kama Abdul, nimesikiaNi ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Mimi kama Abdul wa mchongo, nimeskia kilio chenu wana sda. Nitamshauri mama uchaguzi uwe jumatatu ili tuzipate kura zenu. Imeisha hiyoNi ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.