Sasa kwanini unampigia kura mgombea ambaye unajua hawezi kutangazwa ?Mi sioni haja ya kupiga kura maana kura za wananchi haziheshimiwi,upige usipige wagombea wa ccm watapita bora nibakie nyumbani if my one vote can not make a difference,
Ccm wanataka watendewe haki kwenye uchaguzi wa ndani ya chama, lakini wenyewe hawataki kuwatendea wagombea wa vyama vingine haki,
Lazima azingatiwe,ikiwa dini yake inamzuwia kufanya shughuli jumamosi,basi uchaguzi usiwe jumamosiAliyekukataza kusali ni nani, kwani ni lazima wewe ukapige kura. Nenda kusali na kuendekeza dini za kuletewa.
Waliomba ibadilishwe, nafikiri uchaguzi wa mwisho ulikua siku ya kaziUchaguzi miaka yote ni jumapili, wakatoliki hatuna shida sisi, tunagonga misa na kura tunapiga.
Ndo maana sitapiga kura,nitailinda kwa wivu mkubwa kura yangu nikiwa nyumbaniSasa kwanini unampigia kura mgombea ambaye unajua hawezi kutangazwa ?
Sabato iheshimiwe na kila mwanadamu, siku ya Bwana ni special for resting and Worship the almighty God of IsraelLazima azingatiwe,ikiwa dini yake inamzuwia kufanya shughuli jumamosi,basi uchaguzi usiwe jumamosi
Mungu wa israel (yakobo) wewe anakuhusu nini!?..naunga mkono sabato kuheshimiwa kwa kuwa nchi ina wasabato piaSabato iheshimiwe na kila mwanadamu, siku ya Bwana ni special for resting and Worship the almighty God of Israel
Sio lazima, kama hawezi kupiga kura Jumamosi na asipige kura kwani hana mchango wowote katika taifa.Lazima azingatiwe,ikiwa dini yake inamzuwia kufanya shughuli jumamosi,basi uchaguzi usiwe jumamosi
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Hata kama hana mchango kama unavyoamini,bado ni mtu wa taifa hili, lazima athaminiwe,maana hata mbwa wa mtaani huchanjwa kwa gharama ya serikaliSio lazima, kama hawezi kupiga kura Jumamosi na asipige kura kwani hana mchango wowote katika taifa.
Kwani mmelazimishwa kushiriki?Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Siku hiyo hata kula msile,msioge,msipumue wala kutikisika.Wayahudi-mchangamko huwa mna madai lukuki sana.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Tunaamini vipi kama ni Mtanzania?Hata kama hana mchango kama unavyoamini,bado ni mtu wa taifa hili, lazima athaminiwe,maana hata mbwa wa mtaani huchanjwa kwa gharama ya serikali
Nyinyi ni wajinga wakubwa.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.