Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Waza kitofauti kidogo.Lazima azingatiwe,ikiwa dini yake inamzuwia kufanya shughuli jumamosi,basi uchaguzi usiwe jumamosi
Yesu aliivunja Sabato.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Fafanua. Ni upuuzi wa Wasabato au hao wanaopanga siasa siku ya Sabato.Kila baada ya miaka mi 5 huu upuuzi lazima ujirudie
Hivi kila mtu akitaka siku yake ya kuabudu isiguswe kweli tutafanya mambo ya kijamii? Maana wengine tunaabudu kila siku.Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Hapa suala ni Msabato kutotakiwa kufanya kazi jumamosi,hizo dini zingine hawazuiwi kufanya kazi siku fulaniWaza kitofauti kidogo.
Kuna dini ngapi hapa Tanzania?
Kuna siku ngapi katika wiki?
Na kila dini ikiwa na siku yake maalum ya kupumzika ili kuabudu tu, na huo uamuzi ukitakiwa kuheshimiwa na serikali, uchaguzi utafanyika lini?
Hivi unadhani wanaosali Jumapili, wanafurahia uchaguzi uwe jumapili ili waache kwenda kwenye ibada na badala yake waende kupiga kura?
Hivi unadhani waislamu wanafurahia sana Ijumaa iwe siku ya kazi, lakini Jumamosi na Jumapili ziwe siku za mapumziko kisa kuna watu siku ya jumamosi na jumapili wanakwenda kusali?
isiwe ijumaa siku ya kuswalina isiwe jumapili! iwe siku ya kizimkazi
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.