Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Huna mandate ya kunichagulia kipi cha kuandika au upande gani niuunge mkono.
 
Kumbuka Ukraine kavamiwa na Urusi anapambana kutetea uhuru wake na Urusi ananguvu kwa hiyo ulitaka asalimishe ardhi yake kwa Urusi
Afadhali umetoa comment inayo eleweka.
 
Zelensky ni mkuda sana, ni jirani muovu.

NATO imemtumia silaha nyingi sana kumchokoza urusi kabla ya ule uvamizi.

Kifupi Ukrain alikuwa anajiandaa na vita huku anachokoza kwa kuweka makombora mengi sana mpakani na Russia, tena makombora ya kupewa na NATO
 
Huu uzi kila mtu ana uhuru wa kuchangia kile anachokipenda. Hivyo nisingependa unipangie cha kuandika. Na pia siyo lazima mawazo yangu/mtazamo wangu ufanane na wa kwako.
 
Moja ya vijitu vijinga kabisa duniani ni hako ka Zelensky. Kangeifahamu kwa kina Marekani na washirika wake, kasingekubali kuingia kwenye huu mtego.
Nchi yake ilipovamiwa ulitaka afanyaje kama Rais na amiri jeshi mkuu?
 
Zelensnkyy ni myahudi wayahudi matajiri duniani waliosambaa kila nchi duniani ndio wanagharimia hiyo vita

Binafsi nilionya toka siku ya kwanza vita ilipoanza kuwa Russia wamekosea kuvamia nchi ambayo Serikali yake inaongozwa na myahudi Zelensnkyy

Wayahudi huungana kama kitu kimoja mwenzao kama akiwa Raisi akivamiwa

Zelensnkyy hadaiwi chochote
 
Kumbe jina lake kamili ni ZELENSKY MANGUNGO ndo maana mambo yake yanafanana na Chief MANGUNGO wa msovero
 
pamoja na kuwa ni pro west ila hapo huyo jamaa kaongea fact na sio msimamo. Tujifunze kukubali ukweli hata kama ni kinyume na ushabiki wetu.
Mkuu haiwezekani kumlazimisha mtu awe upande wako ili akubali unachokipenda wewe.

Kumbuka kuwa hapa ni jukwaa huru hivyo kila member ana uhuru wa kuamini anacho kiamini.
 
Kumbe jina lake kamili ni ZELENSKY MANGUNGO ndo maana mambo yake yanafanana na Chief MANGUNGO wa msovero
Anakubali kuuuza watu wake kisa ashinde vita
 
Mkuu haiwezekani kumlazimisha mtu awe upande wako ili akubali unachokipenda wewe.

Kumbuka kuwa hapa ni jukwaa huru hivyo kila member ana uhuru wa kuamini anacho kiamini.

fact is a fact haijalishi unaupenda au kuuchukia. Utabaki kuwa ukweli.
 
Hana cha kuwalipa NATO zaidi kuwapelekea kiboga wakichakate na mafuta ya nazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…