Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
2,919
Reaction score
5,558
Habari kwenu.

Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama.

Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo mkubwa wa Mawazo.

Discuss.....

1000338168.jpg
 
Hata kutoamini ni dini pia, kwasababu naamini dini ni imani.

Mimi ni mkristu ninaeamini uwepo wa Mungu.
Vizuri kwa kuamini uwepo wa Mungu.

Kutoamini Mungu umesema nayo ni dini lakini ni dini iliyokinyume na Mungu a supernatural being
 
ruto anaenda kuiua kenya, sasa hivi anataka kumfanya muslim wa mombasa na low iq barbaria somalia kuwa makamu wa raisi meaning kama akishinda uchaguzi ujao kenya itapata makamu wa raisi wa kwanza muslim kutoka mombasa na barbaria somalia na yale yale yatajirudia halfway down the line he will die na muslims ku-take over uraisi na ku-usher in mwisho wa kenya kama tuijuavyo, its the same play book.

he (ruto) is playing with fire na naombea ashindwe uchaguzi ujao, kwani muslims wa mombasa, low iq somali na zanzibar wataungana na kuunda caliphate east afrika.

Ruto Must be Stopped ...
 
ruto anaenda kuiuza kenya, sasa hvi anataka kumfanya muslim wa mombasa kuwa makamu wa raisi meaning akishinda uchaguzi kenya itapata makamu wa raisi muslim wa mombasa na yael yel yatajirudia halfway he will die na muslim kuta-over na ku-usher in mwisho wa kenya kama tuijuavyo.

he is playing with fire ana naombe ashindwe uchaguzi ujao ...
Hii ni hatari sana naon hata Wasomali wameshika nafasi kadhaa za uongozi wajuu na biashara nyingi Nairobi, usalama wa Kenya upo hatarini sana kwa sababu wale wanawaita wenzao kutoka Somalia kuja kuishi Kenya.
 
anaenda kuikabidhi kenya kwa muslims, muslims wako vitani hapa east afrika for the last 100 years lengo lao ni kutawala eneo lote la afrika ya mashariki kutokea zanzibar, zanzibar ndiyo makao makuu ya dola islam, mpaka sasa hivi tanzagiza imesha-fall next ni kenya halafu baada ya hapo islamic sharia caliphate itaundwa afrika mashariki museveni is muslim anyawy hivyo uganda ni kazi raisi sana, kizingiti kikuu kilikuwa kenya ...
 
anaenda kuikabidhi kenya kwa muslims, muslims wako vitani hapa east afrika for the last 100 ywears lengo lao ni kutawala eneo lote la am kutokea zanzibar, zanzibar ndiyo makao makuu ya dola islam, mpaka sasa hvi tanzagiza imesha-fall next ni kenya halafu baada ya hapo islamic sharia caliphate itaundwa afrika mashariki museveni is muslim anyawy hivyo uganda ni kazi raisi sana, kizingiti kikuu kilikuwa kenya ...
Museven sio Anglican.

Hiyo move yao itashindwa. Sharia Law, Traore wa Bukinafaso ameshasema zibaki huko huko Saudi Arabia. Africa tunataka Technology, Viwanda na Elimu.
 
anaenda kuikabidhi kenya kwa muslims, muslims wako vitani hapa east afrika for the last 100 years lengo lao ni kutawala eneo lote la afrika ya mashariki kutokea zanzibar, zanzibar ndiyo makao makuu ya dola islam, mpaka sasa hivi tanzagiza imesha-fall next ni kenya halafu baada ya hapo islamic sharia caliphate itaundwa afrika mashariki museveni is muslim anyawy hivyo uganda ni kazi raisi sana, kizingiti kikuu kilikuwa kenya ...
kwani mnaogopa nn ? Poorojo tu za kifala mpaka lugha ya kiarabu mnaigopa
 
Aonyeshe atheists wawili wanalio kama wanyama , nimwonyeshe maelfu ya theists wanaofanya mambo ya hovyo zaidi ya wanyama, theists wanapata matatizo ya akili wakiona wanachokiamini wengine hawakiamini na wana maisha mazuri tu
 
Museven sio Anglican.

Hiyo move yao itashindwa. Sharia Law, Traore wa Bukinafaso ameshasema zibaki huko huko Saudi Arabia. Africa tunataka Technology, Viwanda na Elimu.

sina uhakika sana, historia ya burkina faso ni tofauti na ya east afrika, hapa afrika mashariki dola islam ilishawahi kuwepo tayari iliyotawala zanzibar, sehemu ndogo ya pwani yetu (mpaka 12 000 sq km za nchi yetu), mombasa yote mpaka kismayu somalia, na ilikomeshwa na Christians walivyokuja na kuanzia hapo muslims wamekuwa vitani kuirudisha na wana sapoti kubwa ktk nje pia, so dont underestimate them kwa maana wanajua wanachokitaka wakati adui yao ambae ni sisi hata hatujui kwamba tuko vitani.

kuna sababu kwa nini muslims wa tanzagiza wanasema (wanadanganya ofcourse) wao ndiyo waliopigania kuleta uhuru ...
 
sina uhakika sana, historia ya burkina faso ni tofauti na ya east afrika, hapa afrika mashariki dola islam ilishawahi kuwepo tayari iliyotawala zanzibar, sehemu ndogo ya pwani yetu (mpaka 12 000 sq km za nchi yetu), mombasa yote mpaka kismayu somalia, na ilikomeshwa na Christians walivyokuja na kuanzia hapo muslims wamekuwa vitani kuirudisha na wana sapoti kubwa ktk muslim brotherhood, so dont underestimate them kwa maana wanajua wanachokita wakati adui yao ambae ni sisi hata hatujui kwamba tuko vitani ...
Na wakipata nafasi kwenye uongozi tunaona wanavyokuwa mfano kule Kenya kuna waziri msomali wanamlalamikia sana namna anavyofanya mambo yake na hao wa Mombasa pia.

Ndio maama hapa tanzagiza wakikutana huwa hawaachi kumlaumu Baba wa Taifa mwalimu Nyerere eti aliwadhoofisha.
 
Aonyeshe atheists wawili wanalio kama wanyama , nimwonyeshe maelfu ya theists wanaofanya mambo ya hovyo zaidi ya wanyama, theists wanapata matatizo ya akili wakiona wanachokiamini wengine hawakiamini na wana maisha mazuri tu
Kwani bro na wewe ni Atheists uwamini uwepo wa Ruwa.. Ngyilewiyo na Ndekango wai nukyepusia mrere.
 
Back
Top Bottom