Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
- #41
Ni kweli mkuu.Kuamini mungu/miungu ndio dini yenyewe, ila unaweza kuamini bila kuwa kwenye "organized" religion.
Ni kweli mkuu.Kuamini mungu/miungu ndio dini yenyewe, ila unaweza kuamini bila kuwa kwenye "organized" religion.
No! Atheists are the source of technology in the world. You pray on the morning and in the evening you use what an atheist produce. Remember great mathematicians are Atheists. They don't waste their time in praying. For them "you ought to understand in order to believe " most third world people believe in order to understand that's why the continent of Africa is very poor.Habari kwenu.
Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama.
Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo mkubwa wa Mawazo.
Discuss.....
View attachment 3645014
But we had great Scientists who were good Christians. Would you like to say that being Theist you have low thinking capacity?.No! Atheists are the source of technology in the world. You pray on the morning and in the evening you use what an atheist produce. Remember great mathematicians are Atheists. They don't waste their time in praying. For them "you ought to understand in order to believe " most third world people believe in order to understand that's why the continent of Africa is very poor.
Nitaamini kwa Imani yangu nyingne ambayo sio DINI ya kikoloni, wewe ukitaka kuiita ya kipagani sawa tuuDini ni mfumo wa kiimani, kabla ya wazungu kulikua na dini za asili zenye mifumo yake ambazo hao walioleta zakwao waliita dini za kipagani.
Nataka kujua unaamini vipi bila dini?
Sio mimi , ndio hiyo ya kikoloni inaita hivyo.Nitaamini kwa Imani yangu nyingne ambayo sio DINI ya kikoloni, wewe ukitaka kuiita ya kipagani sawa tuu
wewe dini ilikuja lini ? waafrika wana dini tangu kuumbwa kwao , tafuta wanaofauta asili zao mpaka leo lazima wana mizimu yao ..Mbwa , nguruwe na wanyama wote ndiyo hawa dini ...Kabla ya ujio wa DINI hizi kwamba watu weusi tulikua tunamuomba vipi Mungu?? Au Mungu kaletwa na Dini za mkoloni?
Unaweza ukakaa sehemu tulivu ukaomba Mungu, sio lazima uwe DINI Fulani, mahusiano ya Mungu ni wewe na yeye na matendo Yako, mchungaji, shehe, DINI Gani, havihusiki hapo. DINI NI BIASHARA TUU KAMA BIASHARA NYINGINE
Ni kweli jamii nyingi za Tanzania na Afrika kwa ujumla zilikuwa na mfumo wa kufanya ibada na tunaona hata wakati mwingine kukitokea majanga kama ukame huwa wanatoka nadharani kwenda kuombea mvua..Nitaamini kwa Imani yangu nyingne ambayo sio DINI ya kikoloni, wewe ukitaka kuiita ya kipagani sawa tuu
Binadamu wote ni wanyama.wewe dini ilikuja lini ? waafrika wana dini tangu kuumbwa kwao , tafuta wanaofauta asili zao mpaka leo lazima wana mizimu yao ..Mbwa , nguruwe na wanyama wote ndiyo hawa dini ...
Yes ukiamini dini za asili unaitwa mpagani.Sio mimi , ndio hiyo ya kikoloni inaita hivyo.
Huyu mwenye dini mbona ni fisadi na anateka watu sasa dini imemsaidia nini?Habari kwenu.
Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama.
Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo mkubwa wa Mawazo.
Discuss.....
View attachment 3645014
Sio biological, tunazungumzia philosophical and spiritual being. Akili na utashi wanyama wengine hawana isokuwa binadamu. Sasa binadamu akikosa Mungu ndani yake anaweza fanya mambo kama mnyama.Binadamu wote ni wanyama.
Inasikitisha kumbe hiyo dini haimsaidii sio.Huyu mwenye dini mbona ni fisadi na anateka watu sasa dini imemsaidia nini?
Mfano wa mambo yapi kama ya mnyama?Sio biological, tunazungumzia philosophical and spiritual being. Akili na utashi wanyama wengine hawana isokuwa binadamu. Sasa binadamu akikosa Mungu ndani yake anaweza fanya mambo kama mnyama.
Huo ndio mfumo sahihiN
Ni kweli jamii nyingi za Tanzania na Afrika kwa ujumla zilikuwa na mfumo wa kufanya ibada na tunaona hata wakati mwingine kukitokea majanga kama ukame huwa wanatoka nadharani kwenda kuombea mvua..
Kuuana 😀😃😃Mfano wa mambo yapi kama ya mnyama?
Punguza udini hujuii lolote kuhusu siasa za Kenya. Makamu wa rais akitokea ODM basi automatically atakua mjaluo (Odinga) au Mluhya (Oparanya) sababu wana kura nyingi zaidi hayo ya Joho umeyatoa wapi? Na hata akiwa Joho wapi na wapi na kuleta utawala wa kiislam wakati hawazidi 11% ya Kenya?ruto anaenda kuiua kenya, sasa hivi anataka kumfanya muslim wa mombasa na low iq barbaria somalia kuwa makamu wa raisi meaning kama akishinda uchaguzi ujao kenya itapata makamu wa raisi wa kwanza muslim kutoka mombasa na barbaria somalia na yale yale yatajirudia halfway down the line he will die na muslims ku-take over uraisi na ku-usher in mwisho wa kenya kama tuijuavyo, its the same play book.
he (ruto) is playing with fire na naombea ashindwe uchaguzi ujao, kwani muslims wa mombasa, low iq somali na zanzibar wataungana na kuunda caliphate east afrika.
Ruto Must be Stopped ...
Binadamu hampandi mama yake kama walivyo tabia za wanyama , binadamu ana sifa ya ubinadamu sio unymaBinadamu wote ni wanyama.
Sasa yeye ndiye kiongozi wa nchi , hawa mitume ni kwa wananchi , yeye anaweza kutafuta hao watalaamu , anamlaumu nan hasa ? China ina dini nyingi , kuna watu zaidi ya mil 30 wanaishi kwenye mapango mpaka leo ila sio kikwazo kwao cha maendeleo ..Kiongozi analaumu , hao wanaotafuta mitume wanamuathiri nn , wakati yeye anashikilia kila sekta, kama wataalamu hawatoshi basi aagize kutoka nje .
Binadamu tena wanaoamini mungu wanauana kwa sababu kama za wanyama wa porini tu, hata Mbwa na Paka hawauani kabisa bila kulazimishwa na binadamu wapigane.Kuuana 😀😃😃