min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Utaamini amini vip mkuuRuto nae kumbe chizi, Mungu na dini vinaingiliana vip, wengi hawana dini ila wanaamin Mungu yupo
Kwa Imani na matendo Mungu anayokutendea, Ukimshirimusha jambo linatikiUtaamini amini vip mkuu
Sikatai , ila bila dini unalebo vipi unacho kiimaniKwa Imani na matendo Mungu anayokutendea, Ukimshirimusha jambo linatiki
😁😁😁😁😁mwamba kapokonya 🎤 fasta😆
Ommanya monoama kany.Shindo shoo , nyi shi umu mleu🤔
Kumbe mtu anaweza kusema anamuamini Mungu ila Moyo wake upo mbali nae. Kwa matukio hayo hana Legitimacy kuwasema Atheists ni kama wanyama.Ruto anayeamini mungu ameua sana watu tangu akiwa anafadhili mungiki, mashahidi wa ICC aliwapoteza na hadi nyakati hizi ambapo waandamanaji wamekuwa wakiuwawa. Hakuna ushahidi wa atheists aliyewahi kufanya mauaji Kenya kama waliyofanya waamini mungu.
Majirani zake Somalia wanaoamini mungu pia wameua watu sana huko Somalia na Kenya kwa sababu za mungu.
Kapsa mekuOmmanya monoama kany.
Nchi zenye idadi kubwa ya atheists ndio zinazo ongoza kuwa na amani na utulivuKumbe mtu anaweza kusema anamuamini Mungu ila Moyo wake upo mbali nae. Kwa matukio hayo hana Legitimacy kuwawema Atheists ni kama wanyama.
Wanasiasa wajanja Sana, kwenye level zao Alina Ruto Wanajua kabisa Mungu hayupo, ila wanataka kupumbaza watwana wao kupitia hizo imaniHabari kwenu.
Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama.
Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo mkubwa wa Mawazo.
Discuss.....
View attachment 3645014
Kabla ya ujio wa DINI hizi kwamba watu weusi tulikua tunamuomba vipi Mungu?? Au Mungu kaletwa na Dini za mkoloni?Sikatai , ila bila dini unalebo vipi unacho kiimani
Dini ni mfumo wa kiimani, kabla ya wazungu kulikua na dini za asili zenye mifumo yake ambazo hao walioleta zakwao waliita dini za kipagani.Kabla ya ujio wa DINI hizi kwamba watu weusi tulikua tunamuomba vipi Mungu?? Au Mungu kaletwa na Dini za mkoloni?
Unaweza ukakaa sehemu tulivu ukaomba Mungu, sio lazima uwe DINI Fulani, mahusiano ya Mungu ni wewe na yeye na matendo Yako, mchungaji, shehe, DINI Gani, havihusiki hapo. DINI NI BIASHARA TUU KAMA BIASHARA NYINGINE
Hao wasomali kwa sasa ndio wameshika uchumi wa Kenya kwa asilimia kubwa sana, sasa nchi yenyewe suala la Rushwa kama unavyojua viongozi wetu hawa sidhani kama kuna uwezekano wakaliepuka hili.ruto anaenda kuiua kenya, sasa hivi anataka kumfanya muslim wa mombasa na low iq barbaria somalia kuwa makamu wa raisi meaning kama akishinda uchaguzi ujao kenya itapata makamu wa raisi wa kwanza muslim kutoka mombasa na barbaria somalia na yale yale yatajirudia halfway down the line he will die na muslims ku-take over uraisi na ku-usher in mwisho wa kenya kama tuijuavyo, its the same play book.
he (ruto) is playing with fire na naombea ashindwe uchaguzi ujao, kwani muslims wa mombasa, low iq somali na zanzibar wataungana na kuunda caliphate east afrika.
Ruto Must be Stopped ...
Nairobi imeshikwa haswaaa na wasomali kwa sasa ata Mombasa pia ni hivyo hivyoHii ni hatari sana naon hata Wasomali wameshika nafasi kadhaa za uongozi wajuu na biashara nyingi Nairobi, usalama wa Kenya upo hatarini sana kwa sababu wale wanawaita wenzao kutoka Somalia kuja kuishi Kenya.

Kuamini mungu/miungu ndio dini yenyewe, ila unaweza kuamini bila kuwa kwenye "organized" religion.Dini ni mfumo wa kiimani, kabla ya wazungu kulikua na dini za asili zenye mifumo yake ambazo hao walioleta zakwao waliita dini za kipagani.
Nataka kujua unaamini vipi bila dini?
Kabisa yaani, migahawa mikubwa, majengo mengi na biashara tofauti tofauti wameshikilia wao kwa Nairobi Wakikuyu wamezidiwa nao. Na wanaitaka mpaka wengine wanatokea Somalia kabisa.Hao wasomali kwa sasa ndio wameshika uchumi wa Kenya kwa asilimia kubwa sana, sasa nchi yenyewe suala la Rushwa kama unavyojua viongozi wetu hawa sidhani kama kuna uwezekano wakaliepuka hili.
Nairobi imeshikwa haswaaa na wasomali kwa sasa ata Mombasa pia ni hivyo hivyo