Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Anza kuamini Mungu sasaNotedΒ‘
Vizuri kwa kuamini uwepo wa Mungu.Hata kutoamini ni dini pia, kwasababu naamini dini ni imani.
Mimi ni mkristu ninaeamini uwepo wa Mungu.
Hii ni hatari sana naon hata Wasomali wameshika nafasi kadhaa za uongozi wajuu na biashara nyingi Nairobi, usalama wa Kenya upo hatarini sana kwa sababu wale wanawaita wenzao kutoka Somalia kuja kuishi Kenya.ruto anaenda kuiuza kenya, sasa hvi anataka kumfanya muslim wa mombasa kuwa makamu wa raisi meaning akishinda uchaguzi kenya itapata makamu wa raisi muslim wa mombasa na yael yel yatajirudia halfway he will die na muslim kuta-over na ku-usher in mwisho wa kenya kama tuijuavyo.
he is playing with fire ana naombe ashindwe uchaguzi ujao ...
Nilisha mwamini kitambo sana, nilipo muona maishani mwanguΒ‘Anza kuamini Mungu sasa
Hongera sanaNilisha mwamini kitambo sana, nilipo muona maishani mwanguΒ‘
Hii ni hatari sana naon hata Wasomali wameshika nafasi kadhaa za uongozi wajuu na biashara nyingi Nairobi, usalama wa Kenya upo hatarini sana kwa sababu wale wanawaita wenzao kutoka Somalia kuja kuishi Kenya.
Museven sio Anglican.anaenda kuikabidhi kenya kwa muslims, muslims wako vitani hapa east afrika for the last 100 ywears lengo lao ni kutawala eneo lote la am kutokea zanzibar, zanzibar ndiyo makao makuu ya dola islam, mpaka sasa hvi tanzagiza imesha-fall next ni kenya halafu baada ya hapo islamic sharia caliphate itaundwa afrika mashariki museveni is muslim anyawy hivyo uganda ni kazi raisi sana, kizingiti kikuu kilikuwa kenya ...
kwani mnaogopa nn ? Poorojo tu za kifala mpaka lugha ya kiarabu mnaigopaanaenda kuikabidhi kenya kwa muslims, muslims wako vitani hapa east afrika for the last 100 years lengo lao ni kutawala eneo lote la afrika ya mashariki kutokea zanzibar, zanzibar ndiyo makao makuu ya dola islam, mpaka sasa hivi tanzagiza imesha-fall next ni kenya halafu baada ya hapo islamic sharia caliphate itaundwa afrika mashariki museveni is muslim anyawy hivyo uganda ni kazi raisi sana, kizingiti kikuu kilikuwa kenya ...
Museven sio Anglican.
Hiyo move yao itashindwa. Sharia Law, Traore wa Bukinafaso ameshasema zibaki huko huko Saudi Arabia. Africa tunataka Technology, Viwanda na Elimu.
Na wakipata nafasi kwenye uongozi tunaona wanavyokuwa mfano kule Kenya kuna waziri msomali wanamlalamikia sana namna anavyofanya mambo yake na hao wa Mombasa pia.sina uhakika sana, historia ya burkina faso ni tofauti na ya east afrika, hapa afrika mashariki dola islam ilishawahi kuwepo tayari iliyotawala zanzibar, sehemu ndogo ya pwani yetu (mpaka 12 000 sq km za nchi yetu), mombasa yote mpaka kismayu somalia, na ilikomeshwa na Christians walivyokuja na kuanzia hapo muslims wamekuwa vitani kuirudisha na wana sapoti kubwa ktk muslim brotherhood, so dont underestimate them kwa maana wanajua wanachokita wakati adui yao ambae ni sisi hata hatujui kwamba tuko vitani ...
Kwani bro na wewe ni Atheists uwamini uwepo wa Ruwa.. Ngyilewiyo na Ndekango wai nukyepusia mrere.Aonyeshe atheists wawili wanalio kama wanyama , nimwonyeshe maelfu ya theists wanaofanya mambo ya hovyo zaidi ya wanyama, theists wanapata matatizo ya akili wakiona wanachokiamini wengine hawakiamini na wana maisha mazuri tu
Ngileka meku π πKwani bro na wewe ni Atheists uwamini uwepo wa Ruwa.. Ngyilewiyo na Ndekango wai nukyepusia mrere.
Aashong' mbonyi tsilemie mbe kany πNgileka meku π π
Shindo shoo , nyi shi umu mleuπ€Aashong' mbonyi tsilemie mbe kany π