Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

Ruto nae kumbe chizi, Mungu na dini vinaingiliana vip, wengi hawana dini ila wanaamin Mungu yupo
 
Akwende zake...i have seen people who dnt bliv in god to be the most kind and sensible kuliko wanaotaja jina la mungu.

Tena ogopa kabisa hawa wanaosema sema mungu this mungu that yote hayo ni kuficha mabaga yao
 
Ruto anayeamini mungu ameua sana watu tangu akiwa anafadhili mungiki, mashahidi wa ICC aliwapoteza na hadi nyakati hizi ambapo waandamanaji wamekuwa wakiuwawa. Hakuna ushahidi wa atheists aliyewahi kufanya mauaji Kenya kama waliyofanya waamini mungu.

Majirani zake Somalia wanaoamini mungu pia wameua watu sana huko Somalia na Kenya kwa sababu za mungu.
 
Kumbe mtu anaweza kusema anamuamini Mungu ila Moyo wake upo mbali nae. Kwa matukio hayo hana Legitimacy kuwasema Atheists ni kama wanyama.
 
Wanasiasa wajanja Sana, kwenye level zao Alina Ruto Wanajua kabisa Mungu hayupo, ila wanataka kupumbaza watwana wao kupitia hizo imani
 
Sikatai , ila bila dini unalebo vipi unacho kiimani
Kabla ya ujio wa DINI hizi kwamba watu weusi tulikua tunamuomba vipi Mungu?? Au Mungu kaletwa na Dini za mkoloni?

Unaweza ukakaa sehemu tulivu ukaomba Mungu, sio lazima uwe DINI Fulani, mahusiano ya Mungu ni wewe na yeye na matendo Yako, mchungaji, shehe, DINI Gani, havihusiki hapo. DINI NI BIASHARA TUU KAMA BIASHARA NYINGINE
 
Dini ni mfumo wa kiimani, kabla ya wazungu kulikua na dini za asili zenye mifumo yake ambazo hao walioleta zakwao waliita dini za kipagani.

Nataka kujua unaamini vipi bila dini?
 
Hao wasomali kwa sasa ndio wameshika uchumi wa Kenya kwa asilimia kubwa sana, sasa nchi yenyewe suala la Rushwa kama unavyojua viongozi wetu hawa sidhani kama kuna uwezekano wakaliepuka hili.

Hii ni hatari sana naon hata Wasomali wameshika nafasi kadhaa za uongozi wajuu na biashara nyingi Nairobi, usalama wa Kenya upo hatarini sana kwa sababu wale wanawaita wenzao kutoka Somalia kuja kuishi Kenya.
Nairobi imeshikwa haswaaa na wasomali kwa sasa ata Mombasa pia ni hivyo hivyo
 
Kuamini mungu/miungu ndio dini yenyewe, ila unaweza kuamini bila kuwa kwenye "organized" religion.
 
Kabisa yaani, migahawa mikubwa, majengo mengi na biashara tofauti tofauti wameshikilia wao kwa Nairobi Wakikuyu wamezidiwa nao. Na wanaitaka mpaka wengine wanatokea Somalia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…