Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

No! Atheists are the source of technology in the world. You pray on the morning and in the evening you use what an atheist produce. Remember great mathematicians are Atheists. They don't waste their time in praying. For them "you ought to understand in order to believe " most third world people believe in order to understand that's why the continent of Africa is very poor.
 
But we had great Scientists who were good Christians. Would you like to say that being Theist you have low thinking capacity?.

The issue of Africa, I thin is kind different, something like natural regardless of whether your Theist or Atheist.
 
Dini ni mfumo wa kiimani, kabla ya wazungu kulikua na dini za asili zenye mifumo yake ambazo hao walioleta zakwao waliita dini za kipagani.


Nataka kujua unaamini vipi bila dini?
Nitaamini kwa Imani yangu nyingne ambayo sio DINI ya kikoloni, wewe ukitaka kuiita ya kipagani sawa tuu
 
wewe dini ilikuja lini ? waafrika wana dini tangu kuumbwa kwao , tafuta wanaofauta asili zao mpaka leo lazima wana mizimu yao ..Mbwa , nguruwe na wanyama wote ndiyo hawa dini ...
 
N
Nitaamini kwa Imani yangu nyingne ambayo sio DINI ya kikoloni, wewe ukitaka kuiita ya kipagani sawa tuu
Ni kweli jamii nyingi za Tanzania na Afrika kwa ujumla zilikuwa na mfumo wa kufanya ibada na tunaona hata wakati mwingine kukitokea majanga kama ukame huwa wanatoka nadharani kwenda kuombea mvua..
 
wewe dini ilikuja lini ? waafrika wana dini tangu kuumbwa kwao , tafuta wanaofauta asili zao mpaka leo lazima wana mizimu yao ..Mbwa , nguruwe na wanyama wote ndiyo hawa dini ...
Binadamu wote ni wanyama.
 
Huyu mwenye dini mbona ni fisadi na anateka watu sasa dini imemsaidia nini?
 
Binadamu wote ni wanyama.
Sio biological, tunazungumzia philosophical and spiritual being. Akili na utashi wanyama wengine hawana isokuwa binadamu. Sasa binadamu akikosa Mungu ndani yake anaweza fanya mambo kama mnyama.
 
Sio biological, tunazungumzia philosophical and spiritual being. Akili na utashi wanyama wengine hawana isokuwa binadamu. Sasa binadamu akikosa Mungu ndani yake anaweza fanya mambo kama mnyama.
Mfano wa mambo yapi kama ya mnyama?
 
N

Ni kweli jamii nyingi za Tanzania na Afrika kwa ujumla zilikuwa na mfumo wa kufanya ibada na tunaona hata wakati mwingine kukitokea majanga kama ukame huwa wanatoka nadharani kwenda kuombea mvua..
Huo ndio mfumo sahihi
 
Punguza udini hujuii lolote kuhusu siasa za Kenya. Makamu wa rais akitokea ODM basi automatically atakua mjaluo (Odinga) au Mluhya (Oparanya) sababu wana kura nyingi zaidi hayo ya Joho umeyatoa wapi? Na hata akiwa Joho wapi na wapi na kuleta utawala wa kiislam wakati hawazidi 11% ya Kenya?
 
Sasa yeye ndiye kiongozi wa nchi , hawa mitume ni kwa wananchi , yeye anaweza kutafuta hao watalaamu , anamlaumu nan hasa ? China ina dini nyingi , kuna watu zaidi ya mil 30 wanaishi kwenye mapango mpaka leo ila sio kikwazo kwao cha maendeleo ..Kiongozi analaumu , hao wanaotafuta mitume wanamuathiri nn , wakati yeye anashikilia kila sekta, kama wataalamu hawatoshi basi aagize kutoka nje .
 
Kuuana πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Binadamu tena wanaoamini mungu wanauana kwa sababu kama za wanyama wa porini tu, hata Mbwa na Paka hawauani kabisa bila kulazimishwa na binadamu wapigane.

Zaidi binadamu wenye dini kuna wengine wanaua kwa kufarahi tu (psychopaths).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…