Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

Odinga is no more na kaka yake Oburu ni mzee sana.

Ila kama ulivyosema Naibu wa Raisi atamchukua kutoka Western Kenya kwa Waluhya kama Oparanya au mwingine kwa sababu wao ndio namba mbili kwa idadi baada ya Wakikuyu na kwa kwa Upande wa Wawajaluo kwa sababu ameshaungana na ODM ana uhakika wa kura zao.
 
Anamaanisha sio kwamba hawatoshi bali wataalamu wanapuuzwa ila machawa ndio wanapewa nafasi kwenye mambo ya msingi.
 
Binadamu hampandi mama yake kama walivyo tabia za wanyama , binadamu ana sifa ya ubinadamu sio unyma
Hata wanyama wa porini wazazi na watoto wao au ndugu hawapandani.

Kama binadamu hampandi mama yake unafikiri kwa nini zimetungwa Sheria za kupiga marufuku mahusiano ya ngono kati ya watoto na wazazi (incest)?
 
Sio kweli , binadamu anamo wake tofauti na mbwa , binadamu ana akili sio sawa na mbwa .
 
Hata wanyama wa porini wazazi na watoto wao au ndugu hawapandani.

Kama binadamu hampandi mama yake unafikiri kwa nini zimetungwa Sheria za kupiga marufuku mahusiano ya ngono kati ya watoto na wazazi (incest)?
Inasikitisha sana..au ndio kuwadhibiti binadamu wasioamini Mungu dhidi ya matendo yao maovu 😃
 
Humu Jf kuna mifugo mingi sana.
 
Inasikitisha sana..au ndio kuwadhibiti binadamu wasioamini Mungu dhidi ya matendo yao maovu 😃
Tanzania 99% ni waamini mungu na hao ndio wanaoua, wanaoshambulia wenzao na wanaofanya incest. Hata ukienda magereza leo hii utakuta 99% ya waliofungwa kwa makosa ya mauaji, ubakaji na incest ni wanaoamini mungu.
 
Una uhakika gani mkuu na data huna?
Je unataka kusema dini haina mchango wowote mzuri kwenye kutunza maadili miongoni mwa watu. Kwamba watu kumi wanao muamini ni sawa na watu kumi wasioamini Mungu kimaadili.?
 
Amezungumza ukweli wa wazi unaonekana hapa kwetu na hata kwa nchi nyingine za Afrika. Tupaswa kujisahihisha kama alivyosema Nyerere.
Maisha ya mwingine yanakuhusu nn ? hao watu wa dini ndiyo wanaongoza nchi yako ? unatafuta sababu , pambaneni kama nchi kapewa , anashindwa nn ?
 
Unatahakika gani na data huna?

Je unataka kusema dini haina mchango wowote mzuri kwenye kutunza maadili miongoni mwa watu. Kwamba watu kumi wanao muamini ni sawa na watu kumi wasioamini Mungu kimaadili.?
Nina uhakika na hizo data, nenda leo magereza yoyote ya Tanzania utafute atheists kama kati kila wafungwa elfu moja utapata atheists zaidi ya watatu.
 
Wengine hawajitambui kama ni Atheists.
 
Je unataka kusema dini haina mchango wowote mzuri kwenye kutunza maadili miongoni mwa watu. Kwamba watu kumi wanao muamini ni sawa na watu kumi wasioamini Mungu kimaadili.?
Ndio, dini haina mchango wowote mkubwa katika kutunza maadili na ushahidi wa hilo ni jinsi nchi zilizo na atheists wengi kama za Ulaya, Canada, Australia, Korea, China na Japan zina mazingira makubwa ya haki, uadilifu na uwajibikaji binafsi kuliko zilizo na kiwango kikubwa cha dini za Africa, America Kusini na Uarabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…