zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Changamoto ni kuwa Odinga ndio party leader kwa sasa so itakua ngumu kumpa oparanya ambaye sio kiongozi tena ODM. Kwahiyo hesabu bado ni ngumu sana maana wajaluo wanaweza kataa kupiga kura wakikosa naibu rais.Odinga is no more na kaka yake Oburu ni mzee sana.
Nguvu ipi isiyoonekana..Shetani au?Wamwambie sio kila mtu anaamini katika dini ila wanaamini uwepo wa nguvu isiyoonekana
Waluhya ni kweli sio wamoja. Na wanamkubali Sifuna sana.Changamoto ni kuwa Odinga ndio party leader kwa sasa so itakua ngumu kumpa oparanya ambaye sio kiongozi tena ODM. Kwahiyo hesabu bado ni ngumu sana maana wajaluo wanaweza kataa kupiga kura wakikosa naibu rais.
Na pia waluhya hawana umoja wanaweza enda na Sifuna au Natembeya alafu wakagawa kura za Ruto so ni risk kubwa sana.
Ruto kichwa kinauma sana
Let as consider faith and reason, those who thinks that faith comes first are low minded people. Just fear of the unknown!! Those who consider reason as the first are very intelligent. Let me conclude that "religion is for less intelligent people "But we had great Scientists who were good Christians. Would you like to say that being Theist you have low thinking capacity?.
The issue of Africa, I thin is kind different, something like natural regardless of whether your Theist or Atheist.
Angefaa Babu Owino hasa kwa Gen Z angesomba sana kura tatizo wazee wameng'ang'ania viti. Na hii ni shida ya Afrika viongozi wanahodhi viti hawaandai warithi ndio maana founders wakiondoka taasisi zinakufa. Ona Tsvangirai-Zimbabwe, Besigye-Uganda, Maalim Seif-ACT.Waluhya ni kweli sio wamoja. Na wanamkubali Sifuna sana.
Oburu nae hana nguvu kwa sababu ya uzee na hakubaliki na chama. Mjaluo ambaye anaweza kuwa Naibu wa Raisi sioni kma kuna waliomuandaa.
Kichwa lazima kimuume na Gachagwa ana mtwanga sana
Professor Kithure Kindiki hana ushawishi Mlima Kenya.
Haaa haaa and what is for high intelligent people?Let as consider faith and reason, those who thinks that faith comes first are low minded people. Just fear of the unknown!! Those who consider reason as the first are very intelligent. Let me conclude that "religion is for less intelligent people "
Ni kweli Babu angepush wakiwa na Sifuna ila ndio hivyo Odinga family imeng'ang'nia chama kama chao pekee yao.Angefaa Babu Owino hasa kwa Gen Z angesomba sana kura tatizo wazee wameng'ang'ania viti. Na hii ni shida ya Afrika viongozi wanahodhi viti hawaandai warithi ndio maana founders wakiondoka taasisi zinakufa. Ona Tsvangirai-Zimbabwe, Besigye-Uganda, Maalim Seif-ACT.
Athibitishe tu Mungu yupo.Habari kwenu.
Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama.
Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo mkubwa wa Mawazo.
Discuss.....
View attachment 3645014
Sawa mkuu Kiranga. Wanatumie dini kuwatawala ki vipi?Athibitishe tu Mungu yupo.
Tumejua Mungu hayupo kabla ya kwenda ughaibuni, kwa kusoma.
Mimi ninesoma falsafa ya dini nikiwa na miaka 18. Wewe ulisoma nini ukiwa na miaka 18?
Ukiwa husomi huwezi kujua logical fallacies zilizopo katika dhana ya kuwapo Mungu, au hata logical fallacy ni nini, au hata ukweli kwamba wanasiasa wanatumia dini kuwatawala watu, na hivyo si ajabu Ruto kujishaua hivyo.
Dini ndiyo zinawafundiaha watu utii wa kikondoo, zinawaambia watu watii mamlaka, zinawaambia mamlaka yote ya kisiasa yanatoka kwa Mungu.Sawa mkuu Kiranga. Wanatumie dini kuwatawala ki vipi?
Ina maanisha dini inadumaza akili za watu.
I used to be good Christian as a Catholic. I happen to red a bit about one philosopher (Spinoza) who said God is nature. From that time I kept faith aside. How can you believe that God created Adam from mud? Why did he created both man ana woman at that same time?" Women segregation " how did the snake cheat Eve? For me is just mere stories created by man. Let me stick to my culture! That's all!!Haaa haaa and what is for high intelligent people?
I agree, reasoning should come first before belief. And for those who exercise religion should do it in moderate while their mind be allert to figure out who is genuine. The case of Shakahola in Kilifi kaunti Kenya or issue of Kibwetere in Uganda showed that those believers were failed to think critically.
Anahamisha magoli huyo.
Shetani utamkuta kwenye dini,Nguvu ipi isiyoonekana..Shetani au?
Huyo Mother nature ndio yupi, provide more clarificationShetani utamkuta kwenye dini,
Nguvu isiyoonekana hapa tunaizungumzia Nature au Mother Nature
Spinoza killed it big time.I used to be good Christian as a Catholic. I happen to red a bit about one philosopher (Spinoza) who said God is nature. From that time I kept faith aside. How can you believe that God created Adam from mud? Why did he created both man ana woman at that same time?" Women segregation " how did the snake cheat Eve? For me is just mere stories created by man. Let me stick to my culture! That's all!!