Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

Kwa mujibu wa nani/nini?
Wa akili ya kawaida kabisa, vinginevyo uwe na matatizo makubwa sana ya kutokujitambua na kutokuwa na kazi ya kufanya nyumbani kwako. Hiyo wiki angewaachia akina Elizabeth Michael.
 
Hivi hii nchi tuna Raisi 😡
 
Uskute hotel anazofikia madalali ni wabongo. Nukta!
 
Kwanza hata alivyo mwonekano wake hafai kuwa rais... Nikimwangalia tu ile body structure yake nakata tamaa kabisa kuhusu maendeleo.
 
Wa akili ya kawaida kabisa, vinginevyo uwe na matatizo makubwa sana ya kutokujitambua na kutokuwa na kazi ya kufanya nyumbani kwako. Hiyo wiki angewaachia akina Elizabeth Michael.
Awepo nyumbani kufanya nini!?..havifanyiki akiwa huko?!..kwa nini kukaa nje wiki si vizuri?
 
mafaili yote anasainia angani yule....sio kwa ziara hizo, kweli rais tunaye!!!!. utashangaa wanaume wazima wanapayuka kwenye maiki kwamba mama anaupiga mwingi......anaupigia wapi ndio hawasemi kabisa 😕
 
Awepo nyumbani kufanya nini!?..havifanyiki akiwa huko?!..kwa nini kukaa nje wiki si vizuri?
Mkuu wa kaya kaamua kuachia panya buku watawale boma. Ni kama mtu aliyepoteza mwelekeo jangwani.
 
Kwani anashamba tusema nyasi zitaota?
 
Nadhani kuna watu wanamdangaya Rais wetu kuwa kusafiri sana nje ya nchi ndio ataonekana anafanya kazi sana.

Wanamdanganya kwa manufaa yao.
Adanganywe na nani, kwani yeye haijui JD yake au?
 
Nadhani kuna watu wanamdangaya Rais wetu kuwa kusafiri sana nje ya nchi ndio ataonekana anafanya kazi sana.

Wanamdanganya kwa manufaa yao.
Wanamwandalia mizunguko tu bi mkubwa na wao wanabaki wanamzunguka yeye akshtuka kumekucha
 
Yalianzia kwa JK marekani, tulipohoji tukahesabiwa siku kinyumenyume!
 
Wewe una chuki binafsi,na upeo ni mdogo mno.Gharama ya kwenda Seoul Korea Kusini ni kubwa sana sababu ya umbali.Ulitaka Raisi afunge safari tatu?
Je kama nchi inayoongozwa na Raisi Dr Samia akiweza kutumia nafasi hiyo kufanya majukumu hata week mmoja mara mmoja bila kurudi nyumbani kuna kasoro gani,wakati kuna Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu na nyongeza naibu waziri mkuu ?
Mbona Raisi Kikwete alienda Marekani kupata matibabu zaidi ya mwezi wala nchi haikuteteleka?
Acha kukalili eti kwa kuwa Marekani au Ufaransa amefanya hivi.Je una habari viongozi wakubwa wa nchi za Magharibi uja Tanzania kwa shughuli binafsi haswa utalii wanakaa zaidi ya week hata mbili?
 
Mkuu wa kaya kaamua kuachia panya buku watawale boma. Ni kama mtu aliyepoteza mwelekeo jangwani.
Mkuu wa kaya hasafiri!?..baba yako hakuwahi safiri walau mwezi mmoja?..ni mkulima?..Mimi mzee wangu akisafiri mpaka miezi mitatu na aliporudi tulipaa kihadhi ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…