Wa akili ya kawaida kabisa, vinginevyo uwe na matatizo makubwa sana ya kutokujitambua na kutokuwa na kazi ya kufanya nyumbani kwako. Hiyo wiki angewaachia akina Elizabeth Michael.Kwa mujibu wa nani/nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa akili ya kawaida kabisa, vinginevyo uwe na matatizo makubwa sana ya kutokujitambua na kutokuwa na kazi ya kufanya nyumbani kwako. Hiyo wiki angewaachia akina Elizabeth Michael.Kwa mujibu wa nani/nini?
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.
Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.
Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.
Wiki nzima utachokwa huko
Awepo nyumbani kufanya nini!?..havifanyiki akiwa huko?!..kwa nini kukaa nje wiki si vizuri?Wa akili ya kawaida kabisa, vinginevyo uwe na matatizo makubwa sana ya kutokujitambua na kutokuwa na kazi ya kufanya nyumbani kwako. Hiyo wiki angewaachia akina Elizabeth Michael.
Mkuu wa kaya kaamua kuachia panya buku watawale boma. Ni kama mtu aliyepoteza mwelekeo jangwani.Awepo nyumbani kufanya nini!?..havifanyiki akiwa huko?!..kwa nini kukaa nje wiki si vizuri?
Kwani anashamba tusema nyasi zitaota?Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.
Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.
Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.
Wiki nzima utachokwa huko
Kila sehemu Kuna mifumo lazima utambueMkuu wa kaya kaamua kuachia panya buku watawale boma. Ni kama mtu aliyepoteza mwelekeo jangwani.
Kwa Mfano hapa TZ tuna mifumo gani?Kila sehemu Kuna mifumo lazima utambue
Majibu ya ni very cheap.Kwani anashamba tusema nyasi zitaota?
🤣🙌Unashangaa Et masuala ya kurekodi filamu, nayo anataka yeye ndio ahusike.
Huyu Bi mdashi ingeanzishwa nafasi ya "Wizara ya Kula Bata Ndani na nje "
Akapewa kwenye Urais KAPWAYA.
🤣Kwa Mfano hapa TZ tuna mifumo gani?
Adanganywe na nani, kwani yeye haijui JD yake au?Nadhani kuna watu wanamdangaya Rais wetu kuwa kusafiri sana nje ya nchi ndio ataonekana anafanya kazi sana.
Wanamdanganya kwa manufaa yao.
Wanamwandalia mizunguko tu bi mkubwa na wao wanabaki wanamzunguka yeye akshtuka kumekuchaNadhani kuna watu wanamdangaya Rais wetu kuwa kusafiri sana nje ya nchi ndio ataonekana anafanya kazi sana.
Wanamdanganya kwa manufaa yao.
Yalianzia kwa JK marekani, tulipohoji tukahesabiwa siku kinyumenyume!Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.
Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.
Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.
Wiki nzima utachokwa huko
Wewe una chuki binafsi,na upeo ni mdogo mno.Gharama ya kwenda Seoul Korea Kusini ni kubwa sana sababu ya umbali.Ulitaka Raisi afunge safari tatu?Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.
Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.
Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.
Wiki nzima utachokwa huko
Mkuu wa kaya hasafiri!?..baba yako hakuwahi safiri walau mwezi mmoja?..ni mkulima?..Mimi mzee wangu akisafiri mpaka miezi mitatu na aliporudi tulipaa kihadhi ya maishaMkuu wa kaya kaamua kuachia panya buku watawale boma. Ni kama mtu aliyepoteza mwelekeo jangwani.