Mama angu hajawahi kupiga picha za uchi kama wewe.Huna linguine ni hilo hilo la uchi??? pathetic..kamuulize mamako kama alishawahi ku shave?!
Umeandika ukweli mtupu, ukizingatia kuwa Sugu na Profesa Jay wamepita njia hii hii anayopita Harmonise kwa sasa.Hao ndio tunawahitaji tuwajaze bungeni na wakina Musukuma, Kibajaji etc
Hao tukipeleka muswada bungeni wanagonga meza tu kuunga mkono hoja maana hata kilichoandikwa ndani hawakielewi.
Bunge la kisayansi 2020-2025 linawezekana, tuwaunge mkono wagombea wa dizaini hii kwa wingi.
Kwema ndugu yanguMkuu ulipotea sana humu jukwaani?
Kwema lakini?
Naam uko sawa kwa 100%,tunahitaji kujaza watu wa dizaini hio ili bunge la kisayansi liweze kwenda na kasi ya awamu ya 6.Umeandika ukweli mtupu, ukizingatia kuwa Sugu na Profesa Jay wamepita njia hii hii anayopita Harmonise kwa sasa.
Kiswahili tu?Kua mtanzaania,kujua kusoma na kuandika.
Ndio mkuu,si ndio lugha ya taifa mkuu?Kiswahili tu?
Hao wa dizaini nyingine wenye ma-degree makubwa makubwa wanaishia kutoa maoni Twitter na Facebook kazi ya kukosoa wanaiweza sana.Naam uko sawa kwa 100%,tunahitaji kujaza watu wa dizaini hio ili bunge la kisayansi liweze kwenda na kasi ya awamu ya 6.
Nzuri sana hiyo kwake kila goti litapigwa!Amen,kwa hakika tunafanya hivyo kwa ustadi mkubwa na hata wiki iliyopita kuna mwanafunzi wa 'Yesu'kutoka kule mwibala aliendelea kutangaza kazi nzuri za kutukuka zinazofanywa na 'masiha' wetu mpendwa.
Abarikiwe sana.
Sisi hatupo na hizo siasa zako, sisi tuna muongelea Yesu Kristo mwana wa Mungu aliyeahaiKwa hiyo John Pombe Joesph Magufuli ni YESU?
MUNGU ANAWAONA...kuna siku atawpigia msiache kupokea simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli musukuma ana upendo sana na wananchi wanyonge wa taifa hili na hata waliofanya nae biashara pale sheikh abeid wamethibitisha hilo na Hata Toyota tanzania(Dodoma) walimuandikia barua spika last week khs Musukuma na upendo wake wq dhati kwa wanyonge.Hao wa dizaini nyingine wenye ma-degree makubwa makubwa wanaishia kutoa maoni Twitter na Facebook kazi ya kukosoa wanaiweza sana.
Bora waende bungeni kina Musukuma wenye elimu za darasa la saba lakini ni watu wenye upendo mkubwa na ushirikiano kwa wananchi wa kawaida.
Wakati hata the chairman himself elimu yake inafahamika,ila wanamsifu kwamba ni genius.Watataka kumdisqualify kwa elimu yake, anasahau maprofesa ndio wametufikisha hapa...
Aisee, kazi kaziNdio mkuu,si ndio lugha ya taifa mkuu?
Tukitukuze kiswahili chetu.
Nzuri sana hiyo kwake kila goti litapigwa!
Sasa waase sana ambao bado hawajamkiri wafamye hivyo ili motp wa jehanamu usiwapate siku ya kiama.
Siyo suala la kusifu na kuabudu vizuri, bali ni suala la usafi wa moyo.Amen,tuko tunaendelea kuwasisitiza wfanye hivyi maana soon kutakua na kikao cha baraza la makuhani na tutaona nani aliweza kusifu vizuri na kuabudu.